Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

Ushauri kwa Kimei:

Imefika wakati wa kujitathmini na kuachia ngazi bila shuruti ili heshima yake ibaki palepale. Ni kiongozi aliyefail katika industry ya kibenki kwa kutofanya risk assessment;

1. Alianzisha mradi wa mabasi ya wanafunzi umekufa - haujawa endelevu.

2. Kaingia mkataba na TFF ; tiketi system, kanunua satellite dish; kujenga kingo za kuingilia.

3. Kuna taarifa la Jeshi la Polisi kuwa wafanyakazi wa benki kushirikiana na majambazi, tumeona matukio ya Mlimani City.

4. Kontena za TPA zilikuwa zinalipwa CRDB, zilikuwa zinafutwa kwenye mitandao IT Deparment.

5.Ufunguzi wa benki Burundi watu wa risk.

Ni wakati wa kujipima na kujiuzuru..
Aaah umevimbiwa mavi unazani crdb ni chadema na ccm
 
hiyo ya kuibia serikali mapato ya ushuru ndio more serious. naona wanamsitiri lakini a spade must be called its name. binafsi nikisikia siku nyingi two three years back jinsi watumishi wa benki wanavyoshirikiana na maafisa wa tpa kuiba hela za ushuru wa forodha. nilifikiri utani kumbe kweli na benki yenyewe kumbe crdb. sasa kumbe pia kuna staff wanashirikiana na majambazi ukichukua hela zako unakabwa wanakuua. crdb sasa ni ujambazi tu inafaa ifilisiwe serikali iweze kupata ushuru walioiba staff wa benki hiyo.
Wivu wa kike
 
Inaonekana una beef personal na huyu mshua kwa allegations unazoweka hapa ,he is outstanding anapata na ma awards ya banking kibao,
Ngekua raisi ningemuappoint awe gavana BoT
 
Kweli kuna haja ya elimu kuwa BURE kwa ujinga huu wa Watanzania.

Hivi kigogo wa CRDB ana wajibishwa na nani!?

Unadhani CRDB ni mali ya serikali ambayo mkurugenzi wake anajiuzuru pale wananchi wanapo andamana!?

Mkurugenzi wa CRDB ana wajibika kwa bodi ya wakurugenzi ya CRDB ambao ni wana hisa - Watu binafsi hawa...DG wa CRDB hawajibiki kwako wewe Nyumbu.

Hata ingekuwa kweli hayo uliyoandika na mengine mengi na mabaya zaidi tena mabaya zaidi ya hayo...mkurugenzi wa CRDB asingejiuzuru mpaka bodi yake imtake kufanya hivyo. Kimei sio mteule wa JK wala Mkapa na wala hafanyi kazi kwa maslahi ya umma wote bali kwa maslahi ya wana hisa wa CRDB tu.

Note: Nikisema wana hisa ni wale walio changia mtaji tu (wale wanao faidi gawiwo)...Na wala sio wewe uliyeweka vilaki mbili vyako kwenye akaunti CRDB.
CRDB ni bank ya serikali kwa asilimia 51! Acheni kuropoka habari msizozijua eti ni private!!!
Wewe nani alikwambia ni Benki binafsi hii ni mali ya serikali na kimei ni muajiriwa wa BOT kabla yakuja kuifufua CRDB....mh. Magu muda wowote akigeukia upande wake kaisha…... Amechwa muda mrefu sana pale mpaka anaendesha CRDB BORA LIENDE. its high time jipu litumbuliwe
 
Utetezi wa kijinga huu. Kwani hakuna watu wengine mbali na Kimei wenye uwezo wa kuipeleka CRDB mbele zaidi ? Acheni kutetea watu kijinga jinga hivi! Eti benki alipoitoa...kwahiyo mfano leo hii Kimei akiwa anatia hasara mfululizo pale CRDB...Aachwe tu kisa ameitoa benki mbali!? Hoja ya kampuni kutolewa wapi haina mashiko kabisa...Watu wanaangalia kampuni ina perform vipi now na projection yake habo baadae inasomekaje.
Sure!!!
 
Ni yenu nyie chadema au una maana ni yenu nyie akina nani. Kama Kimei alikuwa mzuri ni enzi zile. Kwa sasa hafai. Aachie tu ngazi. Aachie mawazo mapya. Vipaji vipya viingie na viitoe bank apa ilipofika kwenda pengine isije kuwa too late kama ilivokuwa kwa precision air au NBC
Yeye nani kamwambia ni Benki binafsi hii ni mali ya serikali 51% na kimei ni muajiriwa wa BOT kabla yakuja kuifufua CRDB, kwa hiyo kama amevurunda atawjibishwa kama wengine...
 
Mkuu umeongea kisom zaidi. Haifai kuleta siasa kwenye biashara. Kimei anapaswa kutoswa. Wakizubaa Itakuwa too late. Ni mpumbavu tu anaeweza kuamin kuwa bado Kimei ana umuhimu kuendelea kuwepo crdb. Ameiibia mpaka serikali. Awale wa Stanbic alifukuzwa baada ya kupata kashfa ya kuiibia serikali. Vipi kuhusu Kimei. Mi naamini ni suala la muda tu lakini Kimei hafai tena kuendelea kuwepo crdb. Kabla hajatimuliwa anafaa ajiuzulu mwenyewe kwa heshima. Apishe mawazo mapya. Ubunifu mpya uingie crdb. Aende akapumzike. Haiwezekani uweke hela bank then uwe na hofu ya usalama wako na hela zako. Sasa nn maana ya kuwa na bank. Kimei hafai kuachiwa kuendelea kukaa crdb hata kwa miezi sita ijayo.
Huko sawa kabisa
 
Kweli kuna haja ya elimu kuwa BURE kwa ujinga huu wa Watanzania.

Hivi kigogo wa CRDB ana wajibishwa na nani!?

Unadhani CRDB ni mali ya serikali ambayo mkurugenzi wake anajiuzuru pale wananchi wanapo andamana!?

Mkurugenzi wa CRDB ana wajibika kwa bodi ya wakurugenzi ya CRDB ambao ni wana hisa - Watu binafsi hawa...DG wa CRDB hawajibiki kwako wewe Nyumbu.

Hata ingekuwa kweli hayo uliyoandika na mengine mengi na mabaya zaidi tena mabaya zaidi ya hayo...mkurugenzi wa CRDB asingejiuzuru mpaka bodi yake imtake kufanya hivyo. Kimei sio mteule wa JK wala Mkapa na wala hafanyi kazi kwa maslahi ya umma wote bali kwa maslahi ya wana hisa wa CRDB tu.

Note: Nikisema wana hisa ni wale walio changia mtaji tu (wale wanao faidi gawiwo)...Na wala sio wewe uliyeweka vilaki mbili vyako kwenye akaunti CRDB.
Ndiyo uko sahii ila hilo la ushuru vp wakimkomalia hakuna aliye juu ya sheria! Kujiuzulu ni kwa faida ya bank goodwill
 
taffa wanajua ukweli; CRDB walete Risti za benki za makampuni kama wanazo kweli; washachakachua

serikali shurutisha crdb itoe majina
 
Ushauri kwa Kimei:

Imefika wakati wa kujitathmini na kuachia ngazi bila shuruti ili heshima yake ibaki palepale. Ni kiongozi aliyefail katika industry ya kibenki kwa kutofanya risk assessment;

1. Alianzisha mradi wa mabasi ya wanafunzi umekufa - haujawa endelevu.

2. Kaingia mkataba na TFF ; tiketi system, kanunua satellite dish; kujenga kingo za kuingilia.

3. Kuna taarifa la Jeshi la Polisi kuwa wafanyakazi wa benki kushirikiana na majambazi, tumeona matukio ya Mlimani City.

4. Kontena za TPA zilikuwa zinalipwa CRDB, zilikuwa zinafutwa kwenye mitandao IT Deparment.

5.Ufunguzi wa benki Burundi watu wa risk.

Ni wakati wa kujipima na kujiuzuru..
Jinga wewe
 
kila kinachofanyika na crdb wala sio kimei ni sisi wateja na wanahisa hasa wenye hisa kubwa ndio wanapokea wazo na wanalikubali au kulikataa ili pesa zao zisipotee na mwisho tunaimani na bodi yetu haituangushi
 
Wewe una chuki binafsi.Kimei kaitoa CRDB mbali sana.Kwa sasa ni bank bora kabisa Tanzania.Yeye sio malaika,kasoro hazikosi.

Back
Top Bottom