Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,562
- 37,915
Kumbe umegundua huyu ndo Charles Hilary mwenyewe?Aisee baada ya ile kauli ya "wewe gombea tu ukishindwa tutaangalia nafasi nyingine" naona kila mtu anataka kutupa ndoano baharini.
Kumbe umegundua huyu ndo Charles Hilary mwenyewe?Aisee baada ya ile kauli ya "wewe gombea tu ukishindwa tutaangalia nafasi nyingine" naona kila mtu anataka kutupa ndoano baharini.
Kwamba simpendi Charles? kanikosea nini? Hoja yangu Bungeni sio kijiwe na wastaafu ni mahali akili zinatakiwa kuchemka sasa mkijaza wastaafu kuna lipi la maana litatokea maana wastaafu hawatakuwa na chakupoteza hata wakigonga meza kwao inatoshaHapana sio kwamba ni ujinga ila inaonekana tu Kuna kitu binafsi ambacho wewe hukipendi hapo.
Anataka aache kazi ya taaluma yake akaunge juhudi akaishi kwa huruma ya jiwe kwamba inategemea atakavyoamkaNa ukurugenzi wa radio Azam fm amuachie Nani?
Unacheza na ukurugenzi kwa bahresa?
Mkwanja mrefu anavuta pale.
Kwanini usiwe weweNa Mimi pia nimeshauri agombee yule kwasababu ya utu uzima wake na busara alizo nazo pia amefanya kazi mashirika mengi hivyo ana weledi wa kutosha, kama kustaafu ni huko sekta binafsi ili kwenye siasa bado anaweza kuendelea.
Kwahiyo huyo akili haichemki? Kwa umri gani alio nao hadi ashindwe kuwa bungeni.Kwamba simpendi Charles? kanikosea nini? Hoja yangu Bungeni sio kijiwe na wastaafu ni mahali akili zinatakiwa kuchemka sasa mkijaza wastaafu kuna lipi la maana litatokea maana wastaafu hawatakuwa na chakupoteza hata wakigonga meza kwao inatosha
Bado hujanielewa tu mkuu unakwama wapi? Hizo siasa za kuitana nyumbu na kondoo ni wewe na wenzako ndo mnaziweza, Mimi sizijui mkuu.
Hiki ndicho ulichoacha kuongea mkuu, wewe sema tu sio kwamba huyu hafai kuwa mbunge eti kwasababu mstaafu ila sema hupendi agombee kwa kupitia ccm bila shaka ningeshauri agombee kwa kupitia Chadema au chama chochote cha upinzani usinge kuja kusema haya unayoyasema hapa.Anataka aache kazi ya taaluma yake akaunge juhudi akaishi kwa huruma ya jiwe kwamba inategemea atakavyoamka
Kwamba ukiwa kwenye siasa ni lazima muitane nyumbu na kondoo.
Huyu katumwa apime upepo.Hivi wewe dogo unakuwaga na matatizo gani? Kwa hiyo hilo bunge ndio la kupeleka wastaafu? Mtu kafanya kazi mpaka kachoka, ww ndio unaona aende bungeni!
ana umri gani ?Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.
Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.
Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Charles Hilary akitaka kudhalilika ajaribu kujiunga na mambo ya ccm , hatutakuwa na mswalie mtumeHuyu katumwa apime upepo.
Hivi hakuna option ya kuichoma moto kabisa? Maana dah kuifuta tu kama vile haitoshiCCM ilitakiwa kufutwa kabisaaaa, bora hata kuwe lichama lingine lililoundwa na wanaccm kuliko kuendelea kuwepo na liccm.