Uchaguzi 2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

Hapana sio kwamba ni ujinga ila inaonekana tu Kuna kitu binafsi ambacho wewe hukipendi hapo.
Kwamba simpendi Charles? kanikosea nini? Hoja yangu Bungeni sio kijiwe na wastaafu ni mahali akili zinatakiwa kuchemka sasa mkijaza wastaafu kuna lipi la maana litatokea maana wastaafu hawatakuwa na chakupoteza hata wakigonga meza kwao inatosha
 
Na Mimi pia nimeshauri agombee yule kwasababu ya utu uzima wake na busara alizo nazo pia amefanya kazi mashirika mengi hivyo ana weledi wa kutosha, kama kustaafu ni huko sekta binafsi ili kwenye siasa bado anaweza kuendelea.
Kwanini usiwe wewe
 
Kwamba simpendi Charles? kanikosea nini? Hoja yangu Bungeni sio kijiwe na wastaafu ni mahali akili zinatakiwa kuchemka sasa mkijaza wastaafu kuna lipi la maana litatokea maana wastaafu hawatakuwa na chakupoteza hata wakigonga meza kwao inatosha
Kwahiyo huyo akili haichemki? Kwa umri gani alio nao hadi ashindwe kuwa bungeni.
 
Bado hujanielewa tu mkuu unakwama wapi? Hizo siasa za kuitana nyumbu na kondoo ni wewe na wenzako ndo mnaziweza, Mimi sizijui mkuu.

Basi umeingia kwenye siasa kwa bahati mbaya.
 
Anataka aache kazi ya taaluma yake akaunge juhudi akaishi kwa huruma ya jiwe kwamba inategemea atakavyoamka
Hiki ndicho ulichoacha kuongea mkuu, wewe sema tu sio kwamba huyu hafai kuwa mbunge eti kwasababu mstaafu ila sema hupendi agombee kwa kupitia ccm bila shaka ningeshauri agombee kwa kupitia Chadema au chama chochote cha upinzani usinge kuja kusema haya unayoyasema hapa.
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.

Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
ana umri gani ?
 
Vijembe ni sehemu ya siasa.
Sasa kama vijembe ni sehemu ya siasa kwanini sasa wewe ukatae na uone haifai yeye kujiingiza kwenye hiyo siasa unayo iita ya kikondoo?
 
Huyu katumwa apime upepo.
Inaonekana unamuogopa sana huyo jamaa akigombea hilo jimbo mkuu, mshawishini ajiunge Chadema mtaongeza kiti cha Ubunge na sio kuja na chuki za ovyo hapa.
 
Back
Top Bottom