Charity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Charity

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kejof2, Feb 18, 2012.

 1. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,724
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  [h=6]MUHINDI,MPARE NA MCHAGA
  walienda kutoa msaada kwa
  masikini lakini walitoa misaada
  hiyo kwa masharti haya:
  MUHINDI:nachora duara kisha
  ... narusha hela juu,zitakazo
  dondokea kwenye duara za
  kwenu
  MPARE:Nachora mstari,kisha
  narusha hela juu,zitakazo
  dondoka kwenye mstari za kwenu
  MCHAGA:nitarusha hela
  juu,zitakazo baki juu ndo za
  kwenu,zitakazo dondoka ni za
  kwangu....
  :smow:[/h]
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mchaga ana akili ya pesa........
   
 3. Ambakisye Lazar

  Ambakisye Lazar Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hahahahaha. Mchagaaaa..! Ndo hapo sasa kuwe na mti karibu, noti moja ipeperuke inase. Patachimbika......!
   
 4. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mchaga bana !
   
 5. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona wachaga wanajipaisha saa hizi,ila kweli mmesemwa vibaya muda mrefu.
   
 6. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Du kube bora kuwanyima uraisi wachaga na wapare tumpe muhindi!
   
Loading...