Kwa upande wangu T-bagwell ndio alinivutia Sana namna alivyocheza kuanzia season 1 mpaka ya 4.zile swaga zake anazofanya akiwa anataka kitu muhimu alikuwa ananichekesha Sana, Jamaa alikuwa anapenda pesa ile mbaya alikuwa yupo radhi afoji jina la mtu mwingine Kama tu deal la hela anaweza kupata kupitia jina Hilo alilifanya hivi kwenye season 3.
Jambo lingine alikuwa kila Demu anadate nae alikuwa lazima amuuwe kasoro demu mmoja tu ndo alikuwa anampenda Sana kwa dhati ile mbaya ndo hakumuua.
Pale alipotoroka jela raia yoyote alipomuona na kutaka kumreport polisi alikuwa lazima amuuwe.Tabia nyingine alikuwa ana tabia ya kukugeuka ilimradi apate maslahi kwenye season 3 pale walipopelekwa kwenye ile jela la Sona ambalo ndani yake kulikuwa Hakuna walinzi zaidi ya wafungwa wenyewe kwenye Hilo jela akatafuta yupi ni mbabe wa pale jela akamuona akaona Bora awe ni kibaraka wake na akajifanya ni mpole kumbe ni katili kwelikweli ili aishi vizuri jela bila kubuguziwa baadae akamgeuka na kumuua baada ya kupata power alikuwa anaitaka na kuwa ndio mbabe mpya wa jela.
Je kwako ni character yupi ulimkubali kupitia series hii ya Prison break na Ni kwanini?

....walipotoroka jela kufata pesa, akaona jamaa watamkimbia akampiga pingu jamaa na mkono wake....jamaa wakaona isiwe shida wakamkata mkono