adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,628
- 34,121
Ukitaka kuondoa stress nenda nyuzi za chaputa yaani watu wanajichetua kabisa ,mimi zinanivunja mbavu walahJf machizi wengi walah
Ukitaka kuondoa stress nenda nyuzi za chaputa yaani watu wanajichetua kabisa ,mimi zinanivunja mbavu walahJf machizi wengi walah
Naipataje hiyo app mkuu ?application iko tayari wanachaputa,itatoka soon,tumeongea na clouds ili waitangaze kuna mdhamini kajitolea