Chanzo cha vifo vingi: Ajari ya wanafunzi wa Arusha

Chanzo cha vifo vingi: Ajari ya wanafunzi wa Arusha

Huwajui wachaga unajiongelea tu..

Wachaga wana L na R na wana kiswahili kuzuri tu.. Tofauti ni kwamba wao L zao huzitamka kwa kuvuta!
Hawana l wachaga wewe mchaga wa wapi wewe unayejikataa.Kwa hiyo hamna mapungufu kwenye kiswahili.Usiwe mbishi kama wakenya wanaodai wao ndiyo wanaongea kiswahili kizuri kuliko watz wenye lugha yao.
 
Kwani zimekosekana picha za tukio halisi la ajali ya wanafunzi wetu Karatu hadi kuazima picha na kuonyesha kuwa watoto walikunikwa na majani! Angalau hata kusingekuwa na picha marehemu kwani hata maadili ya uandishi wa habari hayaruhusa. We need to be serious and ethics oriented.
 
Traffic wapo busy kukusanya mishahara ya watumishi wa umma.
 
Hawana l wachaga wewe mchaga wa wapi wewe unayejikataa.Kwa hiyo hamna mapungufu kwenye kiswahili.Usiwe mbishi kama wakenya wanaodai wao ndiyo wanaongea kiswahili kizuri kuliko watz wenye lugha yao.
Unawajua wachaga wewe?
Unamaanisha kuna mchaga anayesema "rara" akimaanish "lala"?
 
Wakuu,
Kabla ya yote, natoa pole kwa familia, Ndugu na marafiki waliofikwa na msiba huu katika ajari ya Bus.

Lakini pia nitoe pongezi kwa watanzania wenzangu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiki katika kuwatia moyo na kuwapa pole wafiwa.

Ni kweli tujuavyo kwamba ajari haiepukiki lakini kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuna baadhi ya ajari zinaepukika.

Kwa utafiti mdogo niliyo ufanya nimegundua baadhi ya mambo ambayo yamepelekea kutokea kwa vifo vingi vya wanafunzi hawa.

1. SEAT BELT
Kuna kila dalili Bus haikuwa na seat belts, na hata kama ilikuwepo wanafunzi hawakufunga ile mikanda. Ukiangalia mwonekano wa Bus, sehemu kubwa iliyopondeka ni sehemu ya Mbele na karibia robotatu ya Bus halijapondeka Sana. Sasa kama kila mwanafunzi angekuwa kafunga mkanda wanafunzi waliokaa siti za nyuma wengi wangepona.

Kwa sababu hakukuwa na seat belt ilipelekea wanafunzi na walimu wao wote kulushwa mbele ya gari baada ya gari kukita kwenye kolongo.

2.UZEMBE WA DEREVA
Kuna kila dalili palikuwa na uzembe. Dereva alikuwa speed kubwa na gari likamshinda kwenye kona ukizingatia na ubichi wa barabara kutokana na mvua zinazoendelea.

OMBI LANGU:
wazazi/Waalimu tuwe makini muda wote na hawa watoto wetu hasa kwenye hizi School Bus, kuna ka tabia ka kulundika watoto, unakuta seat ya watu wawili watoto wamewekwa wanne. Inapelekea watoto kushindwa kufunga mikanda.

Mungu atusaidie!
8a011719fea1b973d9ac74c8002f2051.jpg
fe04d97ef12d6ec7e4ef29725cd21e07.jpg
Siwez kukupinga ktk hilo... Ila niongezee kdg tu, umetizama vzur ndani seat za nyuma za io mitsubish ilokua imebeba hao wanafunz n kupata ajali?

Then, gari ilikua kasi dereva akashindwa kuimudu, hatujajua alikua spd ipi ila ni kasi ya kutosha tu inaonekana alikuwa nayo n gar ilikua n mzigo...

Ivo bs, kwa mkito ule kwenye korongo... Cdhan ata kam ao pupils wangekua wamefunga izo seatbelts wangepona...

Uezekano wa kupona bdo ungekua ni mdogo sana coz kwa uo mkito kwenye korongo kulingana n gar ilivokua spd ata seat za nyuma zngeng'oka pia then yangekua yale yale tu... Tena nahc ingekua ata shida kuwatoa humo ndani mkuu,

Bahati ckuwa eneo la tukio ila pic izo ukitizama kwa ukaribu zaid ndan ya io mitsubish, utaona seat za nyuma kam hazipo, ivo ni dhahir uenda ikawa zimeng'oka pia ... So seat belts zngesaidia kwa % ndogo sana nahc kwa aina hii ya ajali mkuu

Ivo tu....
 
Kuna watu wanapenda kujifanya wamekuwa wataalam barabarani wanaenda speed utafikiri mashindano. Kusipokuwa na watu wenye ujasiri kwenye gari kupiga kelele Mwishowe ndo haya

Poleni sana wafiwa.
 
Huyo dereva inasemekana alikuwa spidi sana fikiria ndani ya saa na robo ameshatembea kilomita 140. Alafu ni mgeni wa hiyo barabara. Inasemekana wakati anapita kamji wa Rotia ambao uko juu ya mlima costa ilikuwa inapaa kwa spidi kali ambapo mbele yake kuna mteremko mkali. Kwakawaida spidi ya kushuka ule mlima ni 30-40 kwasababu ile barabara ni nyembamba ikiwa na makona kona afu mvua inanyesha. Hapo ajali ni 100% km unashuka kwa spidi
Uwezekano wa mtazamo huu ni mkubwa na ni dhahiri. Hapa inaonekana wazi palikuwepo Human Error na Lack of Seat belts Usage (Kosa la kibinaadamu au Uzembe na Kutokutumia Mikanda ya Viti)
Mungu azilaze Roho za Marehemu Mahala Pema Peponi... R.I.P Young souls..
 
Back
Top Bottom