Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,860
- 40,494
Unataka litokee halafu watu wakae kimya? Yeye katoa mapendekezo yake na wewe kama unaona una mbadala toa yako. Umri ni Shida kwenye udereva, na kwa taarifa yako hata leseni za udereva zinatolewa kulingana na umri hususan wa magari ya abiria. Labda kwa vile nchi yetu kila kitu kinapatikana kwa bahasha ndo maana unaona hata vijana wadogo wanaendesha mabasi.Watu likishatokea tatizo mnakua na vimaneno sana, kwahiyo magari yote yanapopata ajari hua madereva ni vijana? Mambo mengine hutokea kwa bahati mbaya tu sema impacts zake ni kubwa kama hivyo