Ndio,,,lakini isiwe unafanya hivyo kwa maana ya kumuabudu,ni heshima na utii.
Ibada ni mchakato au mtindo wa maisha wa kumtukuza Mungu kwa unyenyekevu na utiifu, na kusujudia ni njia mojawapo ya kuonyesha heshima ndani ya ibada au heshima kwa mtu au kitu kingine.