Madai ya kwamba chanzo chake ni Tz kweli yapo hata mimi niliskia. but ukweli wa madai hayo ni mdogo sana!!!!
Actualy ni tabia ya mito kufungamana ktk misimu ya mvua kali.
Ule mto unavyanzo (channels) vingi, but kwa ukanda wa huku Afrika mashariki na kati CHANZO CHAKE KIPO UGANDA.
kwanini nasema hivyo?
1. Ukirefer scramble of African continent (before partition = before 1884-5) iliyofanywa na wakoloni, kuna Expert wawili (majina nimesahau) walitrace river nile na kufikia ukingoni UGANDA, na hapo ndipo walipopiga kambi na kufanya mambo mengine ili kuhakikisha Uganda inatawaliwa. Jaribu kugugo Uganda preclude to colonialism.
2. Googe map inaonesha chanzo kipo Uganda, chazo cha mto nile kinapatikana kilometer chache kabla ya kufikia Lake Albert. ambapo ziwa likijaa maji hutoka na kuungana na hicho chanzo.
The Boss Ingia kwa google map ujionee mwenyewe.