situmai
Member
- Jun 29, 2012
- 85
- 18
Ni kuchokana.
what course hiyo kuchokana @ kongosho
Ni kuchokana.
Ni kuchokana.
Nadhani na MAUDHI yanachangia.Kuchokana ni ubinadamu tu.
Kwa hiyo unataka kuwaambia wanaoanza mahusiano kuwa huko mbele ya safari ni lazima WATACHOKANA!?Kuchokana ni ubinadamu tu.
Ubunifu gani unaowashinda maelfu ya watu!!kubwa zaidi linalosababisha wanandoa kuchokana ni kushindwa kuwa wabunifu katika maisha yao mara nyingi huwa wanaishi maisha yaleyale bila hata kubadilisha jaribu kidogo kama wewe ni mmoja wapo then utaona mabadiliko
Ubunifu gani unaowashinda maelfu ya watu!!
Mambo gani hayasameheki ndugu yangu!?Kuna mambo unaweza kuvumilia, lkn mengine hata kama unaroho ya kusamehe kiasi gani utachoka.
Kuna mambo mengi katika hilo. Hivi ninavyoandika mimi na mwenza wangu kila mtu yupo chumbani kwake hakuna kusemezana. Ni mambo mengi yanapelekea kufikia hali hiyo. Sasa nikimuona mwanamke yeyote naona ni yale yale lakini nahitaji kupumua maana yamenielemea kupita kiasi.
Kuna mambo unaweza kuvumilia, lkn mengine hata kama unaroho ya kusamehe kiasi gani utachoka.
1.NATIRIRIKA SASA .kuzeeka,maziwa kuwa ndala,kupata kilema,mbunye kutoa harufu,Kuishiwa nguvu za kiume,kutokuwa wabunifu,mmoja au wote kutokuwa mwaminifu,mmoja kuwa na tabia ngeni mfano ulalamishi,kuropoka,kubwata,kufumaniana,ugonjwa,kunenepa kupita kiasi,kukonda kupita kiasi,ulevi kupindukia,kufilisika,mbunye kuwa pana kupita enzi zile,kutokuwa na mabadiliko ya kimaisha miaka nenda rudi,ndugu kuingilia penzi lenu,kuzaa sana,kukithiri kwa umaskini n.k ni MENGI MNO AISEE SO UMEULIZA SWALI AMBALO LIPO TOO GENERAL COZ KILA MTU ANA SABABU ZAKE KUTOKANA NA YALE YANAYOMSIBU
2.wanaume wengi ndio wanaongoza kwa sababu tumewekeza mapenzi yetu kwenye muonekano wa nje badala moyoni so ikitokea badiliko dogo tu tayari tunachokana.