Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

Chanzo cha Kifo cha Dr. Sengondo Mvungi

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Posts
6,700
Reaction score
14,632
Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye alielimika na si kuishia kuwa na vyeti.

Alifariki South Africa akiwa matibabuni. Kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tunathubutu kuzungumza.

Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?

Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
 
Huyu alikuwa mmoja ya wasomi waliokuwa wanaaamini katika elimu waliyopata. Ni msomi ambaye ali elimika na si kuishia kuwa na vyeti.

Alifariki South Africa akiwa matibabuni.kifo chake kinahusishwa kwa ukaribu sana na mchakato wa Katiba Mpya. JAMIIFORUMS ni sehemu tuna thubutu kuzungumza.

Nini kilikuwa chanzo halisi, sababu ya kifo cha mwanasheria huyu Dr. S. Mvungi? Je mnakumbuka wasomi wangapi walioamini katika Elimu walikufa kwa sababu ya Kupigania Taifa hili? Mnamkumbuka Dr. J. Mwaikusa? Aliyepigwa risasi?

Tusipo waenzi hawa Tanzania itabakia na watu kama akina Dr. Bana, Prof. Lipumba, Prof. Kitila Mkumbo etc. Ambao ni mzigo na hasara kwa Taifa.
Dr. Bana ndio baba lao. Lazima upate kichefu chefu akiongea.
 
Inawezekana kuna kitu amefanywa. Akili yake si ya kawaida.atakuwa na tatizo kiakili... Siyo bure. Watanzania tusipowakumbuka waliopigania taifa,tusipowaunga mkono tutabak na watu wa hovyo hovyo sana hapa nchini.
Kwa kweli mnaponikumbusha kuhusu Dr. Bana napata hasira kwa hasara ya kodi za wananchi zilizotumika kumsomesha mpaka PHD.
 
Hapo mwisho umevuruga kabisa kwa kukandia usomi wa hao jamaa kwa kigezo kinachoonekana ni mahaba fulani ya kisiasa. It’s simply wrong kama hauna elimu ya kuifanyia tathmini elimu yao.

Maana, tatizo letu lingine ni mtu mwenye elimu ya kiakademia ya chini anakosoa ile ya juu yake. Hamna kitu kama hicho kwenye ulimwengu wa taaluma. Mathalani kama wewe ni wa form 4 na umekuta watu wanajadili Phd ya mtu, basi pita mbali hamna haja ya kukaukwa mate hapo.
 
Napita Rusumo wajameni natokea Kigali dakika chache Chai ya Moto Kahama mwisho wa safari yangu itakuwa Mbezi Beach
 
Back
Top Bottom