simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,786
- 9,715
EL akisema vipaumbele vyake ni ELIMU, ELIMU, na ELIMU; watu wengine wanaponda. Sasa sikia huyo mtaalamu wa kitanzania anavyo-analyze juu ya ajali hiyo...utashangaa na kuingiwa hasira. Hasira hizi ni bora kuzihamishia kwenye sanduku la kura Oktoba 25.
Nimemshangaa sana mtaalam. Helicopter inaweza kupata ajali kutokana na Sababu kuu tatu.
- operational error mfano hali ya hewa,uzembe wa rubani,poor maintenance
-mechanical error mfano kufeli ingini,panga boi, gear box,shafti na kadhalika
-electrical fault kufeli mfumo wa umeme.