Chanzo cha ajali ya chopa iliyombeba Filikunjombe

Selous ni mbuga ya wanyama
Selous kuna tembo wengi
Selous kuna majangili
Majangili wanauwa tembo
Majangili wanatumia silaa
Majangili wanawindwa na askari wa parks
Majangili wanajihami
Labda majangili waliiona hiyo chopa wakadhani ni askari hivyo wakaitungua.....Ninavyodhani tu.

Hypothesis formulation accepted, lets move to the next step.....
 
Huyo anayejiita mtaalamu wa vyombo vya anga ni muongo,mzandiki na mnafiki wa hali ya juu,haiwezekani hata siku moja eti chopa haiwezi kuanguka kwa matatizo ya engine,kuna engine ambayo huwa haipati hitilafu? Huyu ni mshenzi na pumbavu wa hali ya juu,manina zake *¥§>¥&# anatumika na ccm huyu mtaalamu feki,nasema tena ni muongo na mzandiki mkubwa sana tena hafai,kama ni kosa la rubani huyo rubani anakosa gani la kuendesha ndege hadi ianguke? Wamekodi midege mibovu halafu inaua watu anakuja mshenzi mmoja eti ni kosa la rubani na siyo chopa,shenz zake mjinga huyu,kwa kuwa rubani amekufa na hawezi kujitetea ndo analeta huu ujinga hapa? Au anamaanisha ni kosa la rubani kwa kuwa alikubali kurusha chopa chakavu? Nyambafu ccm!
Khaa!! What's your point?
A%20S%20shade.gif
 
Ile chopa ilikuwa ni mbovu wenyewe waliforce..walikuwa wanaitest test hapa njombe walikuwa na fundi magari anabadilisha mabetri ya gari kwenye chopa..naskia kuna muda ilapaa ikashuka kwa kishindo lkn bado walitaka kuitumia..kikubwa walikosa tahadhali Mungu awarehemu

Duh.....inaelekea unajua mengi kuhusu hili suala....funguka mkuu
 
Nadhani mtaalamu huyu anazungumza kwa ujumla kwa kuzingatia maadili na taratibu za kikazi za aviation industry.

Vyombo vya usafiri wa anga vinapaswa kufuatiliwa kwa umakini mkubwa tangu kutengenezwa,kutumika,maintenance and repair.Sheria zinazosimamia aviation ziko very strict kwenye suala la usalama kiasi kwamba kasoro yoyote inayotokea utakuta inahusisha uvunjaji wa sheria hizo(uzembe) fulani kwenye mlolongo wa wahusika.
Human error inayozungumzwa katika aviation haimhusu rubani tu,bali hata mpangaji wa ratiba za matumizi ya ndege,muongozaji,fundi,mtengenezaji wa ndege na vipuri vyake etc yaani kila anayehusika kuifanya ndege kuruka.

Taarifa za ajali nyingi za ndege zinaonyesha kuwa hitilafu zinazotokea nyingi zimetokana na uzembe wa mtu fulani katika chain hiyo ya wahusika.Narudia tena kusema kwamba taratibu na sheria za aviation hazitoi nafasi ya uzembe(hata mdogo) kufanyika,kutokana na mazingira ya kazi ya chombo yalivyo ya hatari,umakini mkubwa unahitajika,kiasi kwamba ikitokea fault yoyote mahali utakuta kwa asilimia kubwa kuna mhusika fulani amefanya uzembe.Zipo ajali ambazo ulipofanyika uchunguzi iligundulika sometimes hata vipuri vipya vilivyotumika kwenye replacement wakati wa maintenance vilisababisha ajali kutokana na kukosewa kutengenezwa kiwandani.Na ni makosa madogo sana,hata kukosea kuchonga angle tu.
Sasa mtu wa mwisho ambaye mfumo mzima unamtegemea kuligundua tatizo ni rubani.

Ndege zimewekewa mifumo ambayo inatoa ishara kwa kila fault inayotaka kutokea technically na hata katika operational area kwa vitu kama weather changes etc.Yuko muongozaji ndege anayebaki ardhini ambaye pia ni kama rubani wa pili wa ndege kutokana na msaada mkubwa alionao kwenye operational area ya ndege.Kwa kweli mara nyingi ni ngumu mno kutokea tatizo bila system hii nzima kuligundua na ikitokea hivyo unakuta system ilikuwa imelala mahali fulani.Sasa rubani ni mtu wa mwisho kuilinda ndege.Anapaswa kuwa makini mno.

Kwenye helicopter ndipo kuna hitaji la umakini zaidi.Helicopter inaruka karibu na ardhi,mahali ambapo mabadiliko ya weather ni ya mara kwa mara na pia uwezekano wa collision na stationary objects au moving objects nyingine ni mkubwa.

Helicopter inaruka kwa kutumia balance ya nguvu zinazopingana.Kwa mfano ili iweze kupaa inahitaji circlical forces kutoka kwenye main rotor yake(pangaboi la juu) ili kuzalisha thrust,lakini pia inahitaji nguvu ya tail rotor(pangaboi la nyuma) ili kucounteract circlical forces za main rotor na kuzalisha torque helicopter iweze kwenda mbele na pia kuna namna ya kutilt pangaboy za main rotor ili kuiwezesha helicopter kufanya manouvers ikiwa angani,changing direction,landing etc.Hivi vitu vyote na vinginevyo ndani ya helicopter vinatakiwa kufanya kazi kwa efficiency ya juu individually na collectively ili kuleta balance ya nguvu zinazoiwezesha helicopter kuruka na kutembea angani.Hii ni very complex mechanism ambayo any error no matter how small it is inaweza kusababisha whole mechanism kukosa balance na malfunction.

Helicopter ni chombo ambacho kina mtetemo.Vibration hizi zinaweza kugeuka kuwa destructive kwa vipuri vyake ambavyo vimeshachoka na kuhitaji immediate replacement.Kuendelea kufanya kazi na vipuri ambavyo haviwezi kuhimili mtetemo wa helicopter kunaweza sababisha vipuri hivyo kuharibika kabisa,kupasuka au kulegea,mambo yanayoweza kusababisha msuguano wa mechanical parts zake kuzalisha joto kubwa,kuvuja mafuta na kupelekea cataclysmic malfunctions kama moto etc.

Kuna vipuri vya helicopter ambavyo vinatakiwa kubadilishwa baada ya muda mfupi wa matumizi ili kuzuia hali kama hiyo kutokea.Ni parts ambazo zinapiga "mzigo" mzito zaidi na huathirika haraka.Hivyo ukaguzi na maintenance za mara kwa mara kwa helicopter inayoruka muda mwingi ni muhimu sana.

Tafiti mbalimbali zinaonyesha kwamba ajali nyingi za helicopter zinatokana na matatizo ya kiufundi yanayosababishwa na makosa ya binadamu.Matatizo mengi ya kiufundi yanahusisha main rotor(pangaboi la juu),mrgb(main rotor gearbox).

Pia kwa helicopter zinazoruka katika spidi ndogo ya hewa zikiwa full loaded katika maeneo kama bahari au juu ya misitu mikubwa ziko katika hatari ya kuathiri urukaji wake.Inapotokea helicopter inapata tatizo na kuhitaji emergency landing,huwa ni ngumu sana kwenye mazingira hayo.

Tatizo jingine common with some types of helicopters ni hydraulic system failures.

Ili kupunguza matumizi ya nguvu nyingi kwa rubani,controls za helicopter zimeunganishwa na corresponding mechanicals zake kwa kutumia hydraulic system.Rubani anapozungusha au kubonyeza control fulani anakuwa anatumia nguvu ndogo kuliko kama controls hizo zingeungwa direct mechanically.Wenye ujuzi na magari mnanielewa kidogo.Hii ina maana kwamba kama kutatokea hitilafu katika hydraulic system,basi rubani hupata wakati mgumu kuidhibiti helicopter au kushindwa kabisa kuidhibiti.Hakutakuwa na mawasiliano kati ya controls na mechanical parts zinazokuwa controlled na hivyo rubani kushindwa kuidhibiti helicopter.

Tatizo jingine kwa baadhi ya helicopter models ni kutumia materials zinazolipuka kwa urahisi kutengenezea fuel tanks za helicopter.
Kuna nchi wameweka sheria ya kulazimisha matumizi ya helicopter zenye fuel tanks zilizotengenezwa kwa materials ngumu kulipuka in case of accidents au impacts hivyo kupunguza athari kwa abiria waliomo pale wanapopata ajali.Helicopter ya Filikunjombe iliwaka moto na kulipuka kabisa.

Tukirudi kwenye case hii ya kwetu hapa,nimejaribu kuchunguza aina ya helicopter aliyokuwa akiitumia Captain Silaa.

Kwa kuzingatia aviation industry ya East Africa na helicopter tunazopenda kuzitumia humu kwenye makampuni yetu na hasa kule Kenya ambako wabongo wengi hununua au kukodi helicopter zao,na kwa kuchunguza kampuni zinazohusika sana na biashara hii hapa nchini na kule Kenya,aina za helicopter walizo nazo na pia kwa kutazama picha za helicopter hii akiwa nayo Filikunjombe na Joshua Nassari,nahisi(nasisitiza nadhani) hii helicopter ni aina ya "eurocopter Astar 350..".

Kama niko sahihi,basi ni vema tukachunguza historia ya hizi astar 350 a.k.a "astar" ili tujue ubora na udhaifu wake.

Astar ni mojawapo ya helicopter nzuri sana kuwahi kuwepo duniani.Ni helicopter bora na ngumu iwapo utafuata "manual" yake.

Zina sifa ya kuruka at high altitudes (inashikilia rekodi ya kufikia sehemu ya juu katika mt Everest kuliko ndege nyingine) na pia kuaccomodate abiria wengi kutokana na jinsi ilivyo na nafasi ndani.Sifa hii ya kuwa na nafasi ndani inasababisha chombo hiki kuwa overloaded sana na wafanyabiashara ya usafiri wa anga.

Pia helicopter hii ni rahisi kuizima na kuiwasha kwa haraka,hutua na kupaa katika mazingira mengi magumu.Si ajabu huku Africa na duniani Astar ni "jembe la kazi".

Hata hivyo historia ya helicopter hii inaonyesha kwamba iko prone na matatizo ya hydraulic failures kama isipotunzwa inavyotakiwa.

Matatizo hayo hutokea zaidi inapokuwa full loaded at low airspeed na pia ikivuka altitude fulani ikiwa na mzigo mkubwa.

Katika mechanism ya main rotor ya hii ndege,kuna vitu vinaitwa actuator ambavyo vinashikilia zile pangaboy.Ni kama mikono inayoshika zile panga.Actuator za astar ni za kukagua mara kwa mara zina tabia ya kuharibika sana.Hivyo inahitaji kuwa checked na kubadilishwa iwapo ni lazima.

Pia hydraulic belts za astar zinahitaji checking ya mara kwa mara.Mafundi wengi huona uvivu kuzifanyia replacement kutokana na jinsi astar ilivyoundwa na hizo belts zilivyofichwa hivyo kuzifungua inahitaji kufungua vitu vingine vingi ambavyo navyo ukishavifungua ni lazima ureplace.Mfano mzuri ni kama kufanya engine overhaul ya gari,inaweza tatizo likawa piston rings lakini ukishafungua injini ni lazima ureplace pia gasket na korokoro nyingine kwani kama piston rings zimekufa basi ujue navyo vitafuatia kuharibika muda si mrefu.Sasa kukwepa gharama na kazi kubwa ,maintenance ya hydraulic belts za astar hucheleweshwa kwa muda mrefu.

Ikitokea hydraulic failure,huwa kuna option ya kuzima kabisa hydraulic system ili kutumia controls manually but hili linahitaji uzoefu mkubwa wa rubani kwani ni zoezi gumu na pia kama uko katika low speed kwenye misitu,bahari zoezi linakuwa gumu kuitumia tail rotor ambayo ndio huleta balance.

Kwa maelezo ya mashuhuda wa ajali ya Filikunjombe na wenzie kuna mambo haya ya kuchunguza;

- iliwahi kupata ajali mara ya kwanza ikiwa na Joshua Nassari.Kwa nini?tatizo lilitatuliwa vizuri?

-kabla ya kupata ajali ya akina Deo,inasemekana wakati ikiondoka iligoma kupaa halafu ikakubali,tatizo lilikuwa nini?ilikuwa busara kuendelea na safari?

-shuhuda wa eneo la tukio la ajali anasema aliiona ikiwaka moto angani kabla ya kuanguka na kulipuka je,nini kilisababisha moto BEFORE IMPACT?

-helicopter hii imetoka wapi,imefanyiwa maintenance gani,mara ngapi na wapi na kwa sababu zipi?

-tunazo helicopter ngapi kama hizo hapa nchini na ubora wake ukoje na zinatumika wapi?

Mwisho niseme tujitajidi kuwa na sheria strict za avaiation ili kulinda watumiaji wa vyombo vya usafiri wa anga ambao wanazidi kila uchao kulingana na mahitaji ya dunia ya leo.

Kama niko sahihi kuhusu aina hii ya chopa kuwa Astar 350 basi take note hii pia iliwahi kumwua George Saitoti wa Kenya but still nasisitiza ni model nzuri tu ya helicopter.TAFAKARI.
 
Kama hiyo helicopter ndio ilitokea kuanguka kipindi cha Nasari, na rubani alikuwa ni huyo huyo basi kuna uzembe mkubwa ulifanyika.
I think maintenance yake haikuwa nzuri au rubani hakuwa na experience nayo.
 
Naona jimbo la ludewa linachukuliwa na upinzani

Nmependa maneno ya Anne Makinda kwamba mbunge ajaye wa jimbo la Ludewa atakuwa na kaz kubwa sana maana Deo ameacha standard za juu sana
 
Kule jukwaa la kimataifa ndugu yetu msemakweli amefukunyua mambo na kuibuka na habari kuwa hii helicopter ni ya Kalonzo Musyoka yule wa Kenya na kweli ni astar 350(AS 350).

Kwenye habari yake imeandikwa Musyoka ameikodisha kwa CCM,humu tunasema Filikunjombe aliikodi yeye binafsi.Now which is which?
 
Last edited by a moderator:

Hili swali ni vema likajibiwa.

Kama hii ilikuwa mojawapo ya zile za Makamba,basi nawaombeni CCM please,ground all these rotorcrafts.la mgambo hili...
 
Uko vizuri mkuu. Hii ndio inatakiwa JF. Subiri uchaguzi uishe tuendelee na JF tuliyoizoea
 
Back
Top Bottom