Helicopter sio kama gari, useme imepata pancha njiani, inazo derecting mechanisim zote, ina uwezo hadi wa kusimama angani!, rubani mzoefu, aliziona warning signs zote lakinikutokana na uzoefu, alizidharau, kwa sababu kila siku hizo warnings zipo na ana fly safe, hiyo siku, ni siku ilifika!.Nimeisoma hiyo story kwenye gazeti la Mwananchi. Nikajiuliza kwanini hawa wanaojiita wataalamu wanatufanye Watanzania wajinga kiasi hicho? Anasoma eti ndege haiwezi kuanguka kwa ubovu mbali makosa ya rubani. Shenz type na mjinga sana huyo mtalaamu
Mkuu mara nyingi vyombo vya anga huwa havina hitilafu kama za magari. Sio hii tu nishawahi kusoma makala moja ili prove hilo jambo. unaweza usimuelewa lakini endelea kufuatilia. uzembe wa rubani,hali ya hewa,kutunguliwa ama kuhujumiwa.
Pasco , ina maana chopa ikikutana cloud aina ya CB haiwezi angakuka?Helicopter sio kama gari, useme imepata pancha njiani, inazo derecting mechanisim zote, ina uwezo hadi wa kusimama angani!, rubani mzoefu, aliziona warning signs zote lakinikutokana na uzoefu, alizidharau, kwa sababu kila siku hizo warnings zipo na ana fly safe, hiyo siku, ni siku ilifika!.
Ajali za hali ya hewa zinahusisha ndege sio helcopter, ajali ya uharibifu wa mitambo ziko detected tangu haijaruka!.
Pasco
[h=1]Ajali Iliyosababisha Kifo cha Deo Filikunjombe ni ya Mungu au ya Shetani?[/h]P.Pasco hio hoja yako iko wapi? Tunataka kuisoma
Huyo anayejiita mtaalamu wa vyombo vya anga ni muongo,mzandiki na mnafiki wa hali ya juu,haiwezekani hata siku moja eti chopa haiwezi kuanguka kwa matatizo ya engine,kuna engine ambayo huwa haipati hitilafu? Huyu ni mshenzi na pumbavu wa hali ya juu,manina zake *¥§>¥&# anatumika na ccm huyu mtaalamu feki,nasema tena ni muongo na mzandiki mkubwa sana tena hafai,kama ni kosa la rubani huyo rubani anakosa gani la kuendesha ndege hadi ianguke? Wamekodi midege mibovu halafu inaua watu anakuja mshenzi mmoja eti ni kosa la rubani na siyo chopa,shenz zake mjinga huyu,kwa kuwa rubani amekufa na hawezi kujitetea ndo analeta huu ujinga hapa? Au anamaanisha ni kosa la rubani kwa kuwa alikubali kurusha chopa chakavu? Nyambafu ccm!
wingu la CB (Cumulonimbus clouds) ni hatari kwa ndege ndogo na sio kwa helcopter kwa sababu linaonekana toka mbali ni jeusi na linasimama vertical kama nguzo, hivyo linakwepeka kwa choper!.Pasco , ina maana chopa ikikutana cloud aina ya CB haiwezi angakuka?
All Accidents [By First Events] In Progress