Channel Ten wakwepa kusoma Raia Mwema

Channel Ten wakwepa kusoma Raia Mwema

Nimesikitishwa sana na kitendo kilichofanywa na mtangazaji was channel ten kwa kulibagua kwa makusudi gazeti la RAIA mwema lililokuwa na kichwa kikubwa cha habari "ni lowasa...". Sitaki kuamini kuwa kituo hiki kimepewa maelekezo kutweza habari za mgombea wa ukawa. Mara kadhaa kumekuwa na malalamiko ktk mitandao ya kijamii na hats pia kijiweni kwetu kuwa, kituo hiki kimekuwa kikipotezea kuonesha habari za lowasa, na uongozi was channel ten haujawahi kutolea Maelezo juu ya kero hii. Najua NEC na TCRA wako makini na wanafuatilia Tania hii ambayo pamoja na kuwa ni kero kwetu lakini pia in uvunjaji wa sheria na kanuni za hili gemu
Hili gazeti ndio dawa yake maana leo limekuja na unafiki. Eti ni lowassa? Huku limeweka picha ya nyerere akishika kichwa kama anashangaa. Bora kabisa halija somwa
 
UTAKUTA HUYU N MSOM WA ET CHUO KIKUU DA MASKN JAMAN UWEZO WAKE WA KUFKR NDO UMEISHIA HAPO, HAYO NDO MADHARA YA KUPUNGUZA MAKS IL YULE ALIE FEL AONEKANE KAFAULU ww ulipata iv ya 47 jambo leo,mzalendo, uhuru zanziba leo unayajua kwel? KWANN YANASOMWA NA VITUO VYOTE? NDO MAANA ELIM ELIM ELIM IL HATA WW UWE MIONGON MWA WATAKAO RUDIA IL USOME BILA PRESHA GAZET HILO LILI KUWA KICHWA KINACHOSEMA NI "LOWASA?"

Kwa namna ulivyoandika tu ni ishara tosha kuwa hiyo Elimu inapaswa kukufikia na wewe
 
Mkuu pole sana kwa kuendelea kutazama hivi vituo tbc,☆tv hivyo kwangu nilishafuta kabisa
 
Hili gazeti ndio dawa yake maana leo limekuja na unafiki. Eti ni lowassa? Huku limeweka picha ya nyerere akishika kichwa kama anashangaa. Bora kabisa halija somwa

Kanywe malimao
 
Walishatangaza lipi la UKAWA???? tunawajua hao wala hatuwahitaji....Lowassa hahitaji vituo vya TV kufanya kampeni zake hata wote waki susa MWENDO MDUNDO....

Dalili za kukata roho. Ila hatushangai kama mgombea wenu full kujinyea ninyi vi mayai si ndio kabisa. Kamwambie fisadi Mkuu lowasa hana chake tanzania labda apange plan C aingie mstuni . Kura yangu ni kwa Magufuri.
 
Hawajui wafanyacho hao?Gazeti limeandika Kichwa kikubwa Ni Lowasa??Lakini ndani likamponda sana Lowasa...Walimaanusha ni Lowasa aliyekataliwa ba Nyerere?Wakamponda na vitu vingine kibao.
 
Mtoa ni mshenzi kabisa,huna akili hata kidogo,mbona TBC huwa hawasomi magazeti ya MAWIO na Tanzania Daima na hauji humu kubweka? toa ujinga wako hapa.
 
Back
Top Bottom