Leo katika uchambuzi wa magazeti asubuhi, mtangazaji amekwepa kulisoma gazeti la Raia Mwema kwa makusudi kwa kuwa habari kuu ilikuwa inamzungumzia Lowassa. TCRA wawachukulie hatua hiki kituo kwa kukiuka maadili ya uandishi wa habari.
Ushauri wangu kwa channel ten, ni bora msingeliweka mezani hilo gazeti kuliko mlivyofanya leo maana watazamaji tumeona kilichofanyika.
Shame on you Choose. Ten!!
Ushauri wangu kwa channel ten, ni bora msingeliweka mezani hilo gazeti kuliko mlivyofanya leo maana watazamaji tumeona kilichofanyika.
Shame on you Choose. Ten!!