Channel ten Tv inapendelea CHADEMA!

Channel ten Tv inapendelea CHADEMA!

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,393
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.
 
Ya Somaiya kijana wa Rostam alomsaidia kuipata wakati wa mnada baada ya Mengi kujipanga kuinunua ili kuhodhi vyombo vya habari!
 
acha kuangalia utabalance
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.
 
wanaoipendelea ccm ni akina nani? na uliwahi kusema?acha unafiki wa nape
 
Ni vema watanzania tujadili mambo ya msingi hasa ufisadi wa CCM, na umaskini wetu kuliko kujadili hoja mfilisi za Magamba
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

Siyo kosa lako
 
Hilo sio tatizo ukiona inapendelea CHADEMA we achana nayo, angalia inayopendelea chamachako(CCM)!
:evil::evil::wof:
 
Mbona na wewe umependelea?

Hujasema ... Na TBC , na Star TV zinapendelea CCM. Au wewe unapendelea CCM?

Hata hivyo hakuna TV inayopendelea CHADEMA. Ukiona hivyo Ina maana channel ten wanarusha habari bila upendeleo.
 
yani kwa sababu haipendelei chama unachotaka wewe ndio kosa?
mbona TBC wanapendelea sana ccm we hujastuka?
na wewe badilika
 
Back
Top Bottom