Channel ten Tv inapendelea CHADEMA!

Channel ten Tv inapendelea CHADEMA!

Na rais mwenyewe anaipendelea ccm!!bila kujali kuwa yeye ni rais wa nchi yote,mawaziri wote wanaipendelea ccm,mwanasheria mkuu ni wa ccm,jaji mkuu ccm,mahakama ni za ccm,umeacha magogo kwenye macho yako,ila umeona kijivumbi kwenye jicho la mwenzako.
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.
wewee bwana kwani mpaka utizame chanel ten? ipo TBC yenu, full ku-base kwa serikali na chama cha ccm utadhani si TV ya Taifa!
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

Usiwe unaandika mambo ambayo huyajui, au ndo ulikuwa unatufahamisha kwamba umenunua King'amuzi cha Star Times na umeanza kutazama TV tena baada ya kukatiwa Tar 31 Decemba kutokana na TV ya analojia uliyonayo? Tumekusikia
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

wewe chadema hauipendi?
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

toa ushaidi kwa kina na sio kuja na habari za kipashkuna!
 
Sasa ndugu yangu wakimweka mtu wa CCM ataongea nini ili sisi wenye akili tukae kumsikiliza?! Hamna jipya zaidi ya kufanya sherehe tu!
 
Ndo wameamua waegemee upande huo huitaki wee ifute uendee kutazama itv,tbc na hao wengine
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

Inakuuma sana....We gamba nn..?
 
Sijui kwa nini,ukitazama habari zao na vipindi vy amahojiano kwakweli hawako balanced kama ITV wanapendelea CHADEMA.hata repoti ya synovet juu ya coverage ya ucahguzi imedhibtisha.

badilika.

You are a victim of your own biased opinion kuhusu coverage ya Channel 10!! basi wateme hawa channel 10 ufurahie kuangalia TBC ambayo nafikiri utaifurahia sana kwa kutokuwa biased!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! "TBC haipendelei kabiiiissaaaa!!"
 
hatuna uhakika na usemayo labda unjifurahisha, ushahidi ni nini?
 
hivi wanapendelea chadema au wanatangaza mazuri ya chadema na harakati zake?
unataka waisafishe CCM kama hawana jema au jipya??
 
hawa chnl ten wamekula jeuri yao...wakati wa kampeni walikuwa wanaponda sana chadema hata wakaedit baadhi ya hotuba za dr slaa na kumkebehi wakidhani magamba ni ndugu yao.....sasa baada ya kuuawa kwa mwandishi wao ndo wamegundua kuwa cdm ni chama kubwa....nway ng'ombe anajua umhimu wa mkia ukishakatika.
 
Back
Top Bottom