Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,043
- 103,476
Walisema wanahitaji camera za kisasa.....wakapewa mil 100 kwa ajili hiyo, na 100m kwa hayo mambo mengine!
Hata serekalini kuna budget reallocation.
Walisema wanahitaji camera za kisasa.....wakapewa mil 100 kwa ajili hiyo, na 100m kwa hayo mambo mengine!
Wasiwasi wangu wasifanye kama chadema tu kukodisha Fuso mbovu!Hata serekalini kuna budget reallocation.
Mifuko ya CCM !
Katika Chanel ya hivyo,hii inaongoza,picha chafu,sauti ya hovyo,watangazaji hata kiswahili kinawapa shida.Nimesikitika kuona namna matangazo mubashara ya mkutano wa Waziri mkuu na wafanyabiashara wa jijini Dsm yalivyokosa ubora.
Picha zinachukuliwa upande mmoja tu, sauti haisikiki vizuri sanasana zinaonekana sare za kijani tu sasa sijajua kama hao nao ni wafanyabiashara.
Channel ten badilikeni bhana
Maendeleo hayana vyama!
TBC1 hakuna kitu kabisa,bora wakati Hassan Marin,anatangaza au kufanya mahojiano,alikuwa analeta vionjo.Kwani TBC baada ya kufunga mitambo ya kisasa imebadilika?
Kila kitu kikiguswa na CCM kinaharibika!
Mkuu inamaana hata hii safari ya Taifa Stars kwenda AFCON tumeshafeli tayari maana naona wamejazwa makada kwenye kamati ya Saidia Stars!Kwani TBC baada ya kufunga mitambo ya kisasa imebadilika?
Kila kitu kikiguswa na CCM kinaharibika!
Siyo kwenye ile 1.5 T au hii 2.4+ T?Mifuko ya CCM !
Hata wakifanya hivyo utafanya nini wakati ni hela ya Mabwege?Wasiwasi wangu wasifanye kama chadema tu kukodisha Fuso mbovu!
Kitu chochote ukishakihusisha na ccm maana yake unakiuwa kifo cha kikatiri sana ! mifano ni mingi mno , TBC 1 , TOT , SUKITA , GAZETI LA UHURU , REDIO UHURU NKNimesikitika kuona namna matangazo mubashara ya mkutano wa Waziri mkuu na wafanyabiashara wa jijini Dsm yalivyokosa ubora.
Picha zinachukuliwa upande mmoja tu, sauti haisikiki vizuri sanasana zinaonekana sare za kijani tu sasa sijajua kama hao nao ni wafanyabiashara.
Channel ten badilikeni bhana
Maendeleo hayana vyama!
Poleeeee mkuu...........Nikisikia hiyo kauli napata hasira, nilijichanganya nikachukua internet ya TTCL, mpaka leo nikiona gari la njano natamani lipate ajali. Kwa ujumla serikali hasa hii kwenye biashara ikiingia inaenda kutia gundu tu.
Ile dhana ya kupunguza matumizi ya serikali. Bila kujali sheria za matumizi ya fedha za umma sivioni kuleta welfare kwa watanzania zaidi ya kujenga madaraja ya kinyonyaji.200 MIL,loo ni fedha nyingi mno ILA ni FEDHA ambayo imetoka kwenye mfuko wake binafsi au ni fedha ya watanzania wote?je Bunge liliidhinisha hizi fedha ili zitolewe?na hii station inawajibika kwa nani ili kuleta mrejesho wa matumizi yake?,ninapopata muda ninasoma na kufuatilia yanayotokea pale Africa ya Kusini kuhusu tume ya STATE CAPTURE,NINAOMBA nayo hii ije kutokea hapa nchini in my life time,mengi yatatushangaza from CHAVDAS TO LADWAS etc etc
Nimesikitika kuona namna matangazo mubashara ya mkutano wa Waziri mkuu na wafanyabiashara wa jijini Dsm yalivyokosa ubora.
Picha zinachukuliwa upande mmoja tu, sauti haisikiki vizuri sanasana zinaonekana sare za kijani tu sasa sijajua kama hao nao ni wafanyabiashara.
Channel ten badilikeni bhana
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo makamanda ni mabwege!Hata wakifanya hivyo utafanya nini wakati ni hela ya Mabwege?
Bwashee hata wewe unachangia hiki chombo kupitia ruzuku!mtajuana wenyewe huko Lumumba.
Kwahiyo makamanda ni mabwege!