Channel Ten ovyo sana

Channel Ten ovyo sana

Eghorohe

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
220
Reaction score
79
Nimekuwa nikifuatilia taarifa ya habari ya Channel Ten ya saa moja jioni inaboa sana! Utaambulia picha tu sauti ya Bolingo za Radio Magic FM inasikika kwenye TV. Mwanzoni nikajua ni kosa la kiufundi kwa siku moja tu, kumbe ni kama ada! Kila siku hivyo hivo, acheni mambo ya ajabu na ubabaishaji kazi kuajiri watu wasio skilled ili muwalipe mishahara mbuzi!

Ovyoo!
 
Kuna kipindi utalii wa ndani leo kilibuma sijui hawakujipanga vizur
 
Nimekuwa nikifuatilia taarifa ya habari ya Channel Ten ya saa moja jioni inaboa sana! Utaambulia picha tu sauti ya Bolingo za Radio Magic FM inasikika kwenye TV. Mwanzoni nikajua ni kosa la kiufundi kwa siku moja tu, kumbe ni kama ada! Kila siku hivyo hivo, acheni mambo ya ajabu na ubabaishaji kazi kuajiri watu wasio skilled ili muwalipe mishahara mbuzi!

Ovyoo!

mkuu upo sawa kabisa,channel ten ni hovyo kabisa,hasa hawa watangazaji wafuatao-musa kipanya,moses mutente,said kilumanga na ezekiel mwambopo wamedandia fani za watu,hawana sifa za kuwa watangazaji.
 
Nimekuwa nikifuatilia taarifa ya habari ya Channel Ten ya saa moja jioni inaboa sana! Utaambulia picha tu sauti ya Bolingo za Radio Magic FM inasikika kwenye TV. Mwanzoni nikajua ni kosa la kiufundi kwa siku moja tu, kumbe ni kama ada! Kila siku hivyo hivo, acheni mambo ya ajabu na ubabaishaji kazi kuajiri watu wasio skilled ili muwalipe mishahara mbuzi!

Ovyoo!
japo hiki kituo kwenye taarifa ya habari wako shallow sana, ila kwa case hii yako, ni we mwenyewe unatakiwa ku set kwenye tv yako, kama unatumia decoder ya startimes hii huwa inatokea sana na ni rahisi kuiondoa.
 
kwa tatizo la sauti kuingiliana picha hilo usiwalaumu wao bonyeza audio kisha nenda kushoto au kulia tumia limoti ya kisimbusi chako
 
Wakuu natumia TING na Azam mbona channel zingine sipati hayo matatizo? Ok nashukuru nitaitazama CHANNEL TEN LEO kupitia Azam labda kuna mabadiliko,ninakushukuru twatwatwa!
 
Aisee TZ kuna chanel nyingi na zingine sijawahi kuangalia wala kujua uwepo wao
 
Back
Top Bottom