Mkuu fafanua bana, nitabaki naisubiri ITV na EATV tu.
Channel 10 watakuwa hewani DSTV Channel no 292
Stay tuned
Wana vipindi gani hawa wanafiki waliomkana Mwangosi?
kuna vituko show ,bongo comedy
Cha maana ni JENERALI ON MONDAY kama bado kipo
Katika Tv zenye ubora mbovu wa picha Tanzania Channel Ten inaongoza ,picha zao ni tifu tifu balaa
vipi clouds tv? tv za tanzania ni full majanga na kuingia DSTV ni kujidhalilisha.
Star tv muda wote-DW TV
Channel ten muda wote-Sky News
ITV muda wote-BBC/CNN
TBC muda wote-CCTV
Capital muda wote-BBC
EATV-muda wote miziki
Clouds muda wote Miziki
bora kukaa JF
Cha maana ni JENERALI ON MONDAY kama bado kipo
Ukweli bado chanel zetu zina viwango duni kuonekana DSTV,nikiangalia CITIZEN na K24 sioni chanel ya Tanzania inayoweza kuwafikia.ITV,Channel Ten,TBC,Clouds TV wote hamna kitu.
Hakika mkuu ILA ITV wanaweza/wako vizuri sema umakini wa habari -kuwa bias kwa kiasi fulani
na reporters wao kutokuwa 'kosistensi'