Channel Ten ndani ya DSTV

Channel Ten ndani ya DSTV

EATV na CLouds sawa wako tofauti na hawa wengine
wanastahili kuwa DSTV...
ITV wana habari nzuri tofauti na wengine
local tvs kujiunga na media kubwa duniani ni kawaida
hata TV za Kenya na nyingi za afrika hufanya hivo
bora wakaingia DSTV itasaidia kupunguza utitiri wa vingamuzi

vipi clouds tv? tv za tanzania ni full majanga na kuingia DSTV ni kujidhalilisha.

Star tv muda wote-DW TV
Channel ten muda wote-Sky News
ITV muda wote-BBC/CNN
TBC muda wote-CCTV
Capital muda wote-BBC
EATV-muda wote miziki
Clouds muda wote Miziki

bora kukaa JF
 
Na Je tutafika cha Makwaia
At least ni kipindi cha kuwafumbua macho watz waliolala
Itabidi Ch 10 waboreshe na kubuni vipindi vipya na kuongeza Watangazaji mahiri na wenye uelewa kama Mr"Google"(Kibwana Dachi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom