Azam amefuta other channels?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,502
19,313
Kule kuna channel za kikristo nyingi, kwenye other channels amebakisha moja tu ya kiislam. NIlitamani ziendelee kuwepo manake kuna mahuburi sisi wengine huwa tunasikiliza kule. Laiti kama angekuwa amefuta kabla sijalipia kifurushi ningeshukuru. Kwangu hakuna shida kwasababu nina option ya DSTV ndiko nitakakohamia.

Sijui yule mzee wa TING Mchungaji Fernandez aliishia wapi na kile king'amuzi chake, atusambazie ili tusihangaike na hivi vingine ambavyo hawatoi kwa moyo ni hayo tu.
 
DStv nyingi wanatumia English
 
Sio tu other channel kwangu toka juz hakuna UTV na Startv sijui shida nn?
 
Kule kuna channel za kikristo nyingi, kwenye other channels amebakisha moja tu ya kiislam. NIlitamani ziendelee kuwepo manake kuna mahuburi sisi wengine huwa tunasikiliza kule. Laiti kama angekuwa amefuta kabla sijalipia kifurushi ningeshukuru. Kwangu hakuna shida kwasababu nina option ya DSTV ndiko nitakakohamia.

Sijui yule mzee wa TING Mchungaji Fernandez aliishia wapi na kile king'amuzi chake, atusambazie ili tusihangaike na hivi vingine ambavyo hawatoi kwa moyo ni hayo tu.
Sasa kama kanisa linaupigia Debe ushoga kwanini zisifutwe??

Unataka watoto wetu wawe wanafundishwa ushoga huko Azam??
 
Nje ya mada;..angalia game ya yanga motion zake sijui wamefunga camera ngap yaani et HD
 
Kule kuna channel za kikristo nyingi, kwenye other channels amebakisha moja tu ya kiislam. NIlitamani ziendelee kuwepo manake kuna mahuburi sisi wengine huwa tunasikiliza kule. Laiti kama angekuwa amefuta kabla sijalipia kifurushi ningeshukuru. Kwangu hakuna shida kwasababu nina option ya DSTV ndiko nitakakohamia.

Sijui yule mzee wa TING Mchungaji Fernandez aliishia wapi na kile king'amuzi chake, atusambazie ili tusihangaike na hivi vingine ambavyo hawatoi kwa moyo ni hayo tu.
sio kweli channels za kikisto zipo nyingi tu
 
funguwa na wewe mitandao yako ufute za kiislamu kwani akifuta za kikristo tatizo liko wapi? makafiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom