Channel Ten ndani ya DSTV

IPP media wanasubiri nini? maana TBC hawana news za maana ss wenye dstv inatubidi tuwe na vingamuzi viwili kimoja dstv na kingine chenye kuonyesha ITV especially news!!
 
Katika Tv zenye ubora mbovu wa picha Tanzania Channel Ten inaongoza ,picha zao ni tifu tifu balaa
 
Katika Tv zenye ubora mbovu wa picha Tanzania Channel Ten inaongoza ,picha zao ni tifu tifu balaa

vipi clouds tv? tv za tanzania ni full majanga na kuingia DSTV ni kujidhalilisha.

Star tv muda wote-DW TV
Channel ten muda wote-Sky News
ITV muda wote-BBC/CNN
TBC muda wote-CCTV
Capital muda wote-BBC
EATV-muda wote miziki
Clouds muda wote Miziki

bora kukaa JF
 
Asante, JF yenyewe pia kuna watu wanaiita inaupendeleo! Ni kawaida ya watu wote kuothamini walivyonavyo, tunaona kama walivyonanvyo wengine ndio vizuri.
 
Ukweli bado chanel zetu zina viwango duni kuonekana DSTV,nikiangalia CITIZEN na K24 sioni chanel ya Tanzania inayoweza kuwafikia.ITV,Channel Ten,TBC,Clouds TV wote hamna kitu.
 
Ukweli bado chanel zetu zina viwango duni kuonekana DSTV,nikiangalia CITIZEN na K24 sioni chanel ya Tanzania inayoweza kuwafikia.ITV,Channel Ten,TBC,Clouds TV wote hamna kitu.

Hakika mkuu ILA ITV wanaweza/wako vizuri sema umakini wa habari -kuwa bias kwa kiasi fulani
na reporters wao kutokuwa 'kosistensi'
 
Hakika mkuu ILA ITV wanaweza/wako vizuri sema umakini wa habari -kuwa bias kwa kiasi fulani
na reporters wao kutokuwa 'kosistensi'

ITV ilikuwa the best TV miaka ya nyuma sio sasa walikuwa na vipindi vizuri Maigizo-Kaole,Football-UEFA Champs League,Tamthilia,Jiji Letu na vinginevyo sidhani kama kwa sasa wanafikia standard za wakati huo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom