Namfahamu Lusekelo siku nyingi ni mjanja mjanja.Mke wake ni mtoto wa jaji Ngasala na alikuwa na mchumba lkn huyo Mzee wa upako wa mapepo akamnyanganya.Hana uelewa wa kufundisha ndio maana hat kifungu alichotoa mwenyewe anaonyesha kuwa mkristo hatakiwi kushiriki ibada ya muislamu lkn kwa kuwa ni mbumbu hajui maskini.Kuna uhusiano gani kati ya dagon na wana wa Mungu?Kuchinja ni ibada kwa muislamu na wanakiri hivyo kama kweli huyu jamaa anamtumikia Mungu angeongelea ujinga huu?Kama mtu amemuasi baba yake Mwasota atashindwa kujipendekkeaza kwingine atimize malengo yake?Ni kweli kwamba hajui kila wakati kuna ufunuo?Kama hajui ni mtu hatari anaweza kuwapeleka waamini shimoni.Kwa hili wewe unayechukua utukufu wa Mungu eti mzee wa upako utahukumiwa tubu mapema nenda channel ten kaweke ukweli