Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

Again acha kuchangia kwa hisia...Milambo haijawahi kumiliki 60% or 40% ya hisa za vodacom....Again Milambo hakua majority shareholders hio sauti ulitaka aipate wapi?..
unazungumzia kuvuta kimya kimya, unavutaje kimya kimya nana ameuza hisa?

Now unaleta uongo kua ccm inamiliki 40% wamezitoa wapi, unadhani hisa zinagawiwa km maandazi au kadi za vyama?
Vodacom SA anamiliki 75% zinazobaki ni 25% hio hesabu ya 40% unaipata wapi?
Nway naambatanisha mchanganuo wa hisa za vodacom Tanzania hapa chini ili uache kupotosha watu.
Hili ni jukwaa la Great thinkers, act like one.
 
Milambo ilikuwa kampuni inayojishugulisha na nini?
 
Huyu mpungwe havumi lakini yumo
Kila kampuni ya sa hapa nchini hakosekani kwa namna moja au nyingine
 
CCM's looting behavior continues - from the stadiums to newsrooms.
 
Aisee ilikua hatari
 
Jamaa nilishamsahau huyu ....
Umerudi! Pole sana kwa kuondokewa na kipenzi chako, Jambazi mwendazake! Hata mwalimu alitabiri ujio wa wahuni kama huyo pale alipoifananisha katiba yetu mbovu na kokoro...inazoa tu hadi matakataka kama tuliyoyashuhudia katika kipindi cha miaka mitano!
Duh Maghufuli RIP
Kama ulimpenda kanywe naye chai huko aliko, nina hakika utafaidi na hiyo miali mikali ya moto kwa dhambi mlizolitendea taifa letu.
 
Hehe .... Tunamsubiri mkuu sana Nguruvi3
 
Mdogo wa Rostam Aziz alikamatwa na Meno ya Tembo na nyara kadhaa za wanyama pori pamoja na kontena la bunduki za kufanyia ujangili , akashitakiwa kwa Uhujumu uchumi , sasa katika masharti ya kufuta kesi hiyo Rostam akatinga Ikulu na pamoja na mambo mengine akaipa ccm Channel 10 ili mdogo wake aachiwe huru , baada ya jambo hilo mdogo wake akaachiwa huru kabla jua halijachomoza , umo uzi wa kudakwa kwa mdogo wa Rostam humu jf , pia uzi wa Rostam kumtembelea Magufuli Ikulu nao umo humuhumu , unganisha nukta
 
Kumekuchaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…