Channel 10 TV ya hovyo

Kwa sasa ni kituo cha ovyo kuliko vyote hapa nchini.Quality ya ovyo.Inaweza ku scractch na kukata picha na sauti mfululizo kwa muda mrefu as if hawana watu wanaoshughulikia ubora wa natangazo yao.Ni kero.Hata magic fm vilevile inaweza kuzima ghafla na kukaa muda nrefu blia kurudi hewani.
wameambukizwa laana ya albadiri aliyosomewa DAB.
wakati wenzao wote walim-mute DAB, wao walijifanya wajanja kumpa airtime na viewership.
wacha waisome swaini!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom