Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 418
Du Channel 10 siku hizi haikamati kwenye dish langu. Au ndo imeshauzwa na inakarabatiwa?? Mhhhhhhhhhhhh, mambo hayo.
Nawashangaa watanzania wenzangu , kumbe somaia na rostam ndo vodacom, sasa bado tunashupalia vodacom, eti tigo ni mtandao wa wanafunzi! Tuachane na vodacom kwani tunazidi kuwatajirisha hawa washenzi
Wadau ndo sababu hata Jenerali Ulimwengu ameondoka kwenye channel 10? Naona kile kipindi chake cha Jenerali on Monday hakipo tena na kimebadilishwa na kuwa Channel 10 on Monday siku hizi!
Napata woga uvumilivu wa wadanganyika utakapofika mwisho, sijui tutaanza na nani! Mwenzenu toka mwaka 2004 nilishasusa kutumia mtandao wa Voda baada ya kugundua michezo michafu, sijali coverage yao ilimradi naonyesha hasira zangu kwao!!
Tanil ni Shivacom si vodacom,
RA alishauza share zake Vodacom
Ni kweli Channel Ten imenunuliwa na watu wa karibu na RA, hivyo Jenerali asingeedelea kufanya kile kipindi kwa vile huwa hapendi kuingiliwa katika uhariri. Hiyo habari ya kwenda nje kwa miezi 6 imekuja baadaye kidogo, nadhani alishaacha kule Channel Ten miezi 3 kabla.Wadau ndo sababu hata Jenerali Ulimwengu ameondoka kwenye channel 10? Naona kile kipindi chake cha Jenerali on Monday hakipo tena na kimebadilishwa na kuwa Channel 10 on Monday siku hizi!
Napata woga uvumilivu wa wadanganyika utakapofika mwisho, sijui tutaanza na nani! Mwenzenu toka mwaka 2004 nilishasusa kutumia mtandao wa Voda baada ya kugundua michezo michafu, sijali coverage yao ilimradi naonyesha hasira zangu kwao!!
Mkuu can you come again, and re read this ?????? People do change πSo all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Nakusalimu mkubwa, sasa hivi huwezi sema ukweli kama huu. Maana u miungoni mwa wanao tumaliza.So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
'Mabeberu' wanasema hivi: if you cant fight them, join them, naona amaeamua kuungana nao kikweli kweliMkuu can you come again, and re read this ??????People do change [emoji28]
Kwani hata wewe umejisahau? Ulikuwa ukinufaika na ufisadi baada ya Magufuli kukata mirija sahivi mnajiita wakombozi wa Tanzania πππMkuu can you come again, and re read this ??????People do change π
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Tumekuelewa mjombaJamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kamambe kuiimarisha!
Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
Habari yako bwana katibu mkuuSo all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Makamanda enzi hizoAtanunua kila kitu kwa vile iko pesa aliyoipata kwa ubwete. Kelele zikizidi ananunua na Muhimbili ili adhibiti hata matibabu ya wale wenye kuchonga sana juu yake.
Habari yako bwana katibu mkuu