So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Katibu soma hiyooooooooooo
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Mkuu can you come again, and re read this ??????People do change![]()
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Kwa mujibu wa Rais Magufuli leo alipotembelea ofisi hizo kama sehemu ya maadhimisho ya kuzaliwa kwa ccm 5/2/1977 ni kwamba Chanel ten ni television ya CCMJamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kamambe kuiimarisha!
Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
Kipindi hiki akili zilikuwepo. Ila sasa hivi majangaaaaaaa.So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Kama ni kweli Ch 10 imenunuliwa na hawa mafioso ni dalili tosha kuwa pesa walokwisha tuibia wanaona haitoshi, sasa wanataka waendelee kutunyonya sisi wavuja jasho kwa sababu ya gullibility ya baadhi yetu. Yaani meseji wanayotupa ni kuwa they are here to stay, ktk shamba la bibi...
Eeh Mola utume Musa sasa utuondolee madhalimu hawa!
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Kitila Mkumbo Hebu rudi uandike vizuri hapa.So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Mkuu naona utabiri wako unaenda kutimia kuhusu matibabu..Atanunua kila kitu kwa vile iko pesa aliyoipata kwa ubwete. Kelele zikizidi ananunua na Muhimbili ili adhibiti hata matibabu ya wale wenye kuchonga sana juu yake.
Leo wanamwita Rais bora Hajawahi tokeaMakamanda enzi hizo
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Hahahaha, tuadhimishe miaka 42 ya chama TawalaKitila,
Not only CCM tutelage, but the fisadi wing of CCM. Tumekwisha!
Mhh Jamani yamekuwa hayo tena Tanil Somaiya (Shivacom,Ultimate Security,Radar,Umoja wa Vijana TZS 400,000,000/=) kachukua na Channel 10 tena.Mhh 2010 hiyo karibu na mambo yanabadilika katika mission na vision ya tv kuendana na mmiliki mpya. patamu hapo!
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Hahaha sijui siku hizi anasemaje?!So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!

huyu farao
Musa ndo huyu tunae na tunampinga vile vile hahahahaha Tanzania hatujui tukitakacho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kuasiSo all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!
Kabla haujahamia upande wa wenye SHIBE..!So all media channels, especially TVs, are now officialy under the CCM tutelage. Tumekwisha!