Channel 10, Nani anamiliki?

Du Channel 10 siku hizi haikamati kwenye dish langu. Au ndo imeshauzwa na inakarabatiwa?? Mhhhhhhhhhhhh, mambo hayo.

Jaribu kurekebisha frequency na symbol rate kama ifuatavyo;

Satellite ni ile ile iliyokuwa ikipatikana mwanzo i.e. sambamba na ITV & friends
Frequency: 3905
Symbol rate: 2848
Polarity: jaribu zote Vertical/horizontal
 
Hawawezi kamwe kushindana na nguvu za wakati, muda ukifika watanyonyolewa manyoya tu
 
Kama ni kweli Ch 10 imenunuliwa na hawa mafioso ni dalili tosha kuwa pesa walokwisha tuibia wanaona haitoshi, sasa wanataka waendelee kutunyonya sisi wavuja jasho kwa sababu ya gullibility ya baadhi yetu. Yaani meseji wanayotupa ni kuwa they are here to stay, ktk shamba la bibi...

Eeh Mola utume Musa sasa utuondolee madhalimu hawa!
 
Naomba niwafahamishe wale wote wasiofahamu kwamba Channel 10 iko hewani kwa karibu majuma matatu sasa. Unachotakiwa kufanya ni kubadilisha freq. kuwa 3908 na SR 2849. Ukitaka kujua details zote za free TV kwenye satelite tumia LyngSat - Lyngemark Satellite. Kila kitu kinapatikana hapo (Chagua nchi halafu satelite ya intelsat 906)
 
Wadau ndo sababu hata Jenerali Ulimwengu ameondoka kwenye channel 10? Naona kile kipindi chake cha Jenerali on Monday hakipo tena na kimebadilishwa na kuwa Channel 10 on Monday siku hizi!

Napata woga uvumilivu wa wadanganyika utakapofika mwisho, sijui tutaanza na nani! Mwenzenu toka mwaka 2004 nilishasusa kutumia mtandao wa Voda baada ya kugundua michezo michafu, sijali coverage yao ilimradi naonyesha hasira zangu kwao!!
 
Nawashangaa watanzania wenzangu , kumbe somaia na rostam ndo vodacom, sasa bado tunashupalia vodacom, eti tigo ni mtandao wa wanafunzi! Tuachane na vodacom kwani tunazidi kuwatajirisha hawa washenzi

Tanil ni Shivacom si vodacom,
RA alishauza share zake Vodacom
 
Wadau ndo sababu hata Jenerali Ulimwengu ameondoka kwenye channel 10? Naona kile kipindi chake cha Jenerali on Monday hakipo tena na kimebadilishwa na kuwa Channel 10 on Monday siku hizi!

Napata woga uvumilivu wa wadanganyika utakapofika mwisho, sijui tutaanza na nani! Mwenzenu toka mwaka 2004 nilishasusa kutumia mtandao wa Voda baada ya kugundua michezo michafu, sijali coverage yao ilimradi naonyesha hasira zangu kwao!!

Hapana. Jenerali hatakuwepo nchini kwa muda wa miezi Sita. Kuna kazi ameenda kufanya kwenye nchi moja Kusini mwa Afrika kwa muda Huo. Sina hakika, lakini nadhani ni Namibia. Hilo Ndilo ninalofahamu. Mwenye ziada atujuze.
 
Tanil ni Shivacom si vodacom,
RA alishauza share zake Vodacom

RA share alimuuzia nani maana ndio lilikuwa tatizo wakati anataka kuziuza kwamba wageni hawawezi kuwa na more than 49 ya share au wameoinda sheria kama Mkapa na NBC kwa kuwauzia 70% ya share anajua kuwa sheria ya nchi inakataza
 
Wadau ndo sababu hata Jenerali Ulimwengu ameondoka kwenye channel 10? Naona kile kipindi chake cha Jenerali on Monday hakipo tena na kimebadilishwa na kuwa Channel 10 on Monday siku hizi!

Napata woga uvumilivu wa wadanganyika utakapofika mwisho, sijui tutaanza na nani! Mwenzenu toka mwaka 2004 nilishasusa kutumia mtandao wa Voda baada ya kugundua michezo michafu, sijali coverage yao ilimradi naonyesha hasira zangu kwao!!
Ni kweli Channel Ten imenunuliwa na watu wa karibu na RA, hivyo Jenerali asingeedelea kufanya kile kipindi kwa vile huwa hapendi kuingiliwa katika uhariri. Hiyo habari ya kwenda nje kwa miezi 6 imekuja baadaye kidogo, nadhani alishaacha kule Channel Ten miezi 3 kabla.

Vile vile huko nyuma walikuwa wanatumia transmission ya ITV kuonekana kwenye satellite, sasa baada ya hawa jamaa wapy kuingia, Mzee Mengi akawakatia connection; inasemekana walikuwa hawajalipa bili kwa muda mrefu.
 
Mkuu can you come again, and re read this ??????People do change 😅
Kwani hata wewe umejisahau? Ulikuwa ukinufaika na ufisadi baada ya Magufuli kukata mirija sahivi mnajiita wakombozi wa Tanzania 😂😂😂
 
Jamani nimeona vema niliweka hapa hili suala maana nimeambiwa na mmoja wa watumishi wa RA kuwa amenunua channel 10 na sasa ana mpango kamambe kuiimarisha!

Mwenye data zaidi, plz tuleteeni
Tumekuelewa mjomba
 
Back
Top Bottom