Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI

Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100.

Aidha Jumla ya dozi 17,224,200 za chanjo ya Sotoka ya Mbuzi na Kondoo kwa ajili ya kuchanja mbuzi na kondoo 17,224,200 na dozi 40,000,000 za Chanjo ya Mdondo wa kuku (ND) kwa ajili ya kuchanja kuku wa asili 40,000,000 zimenunuliwa.
 

Attachments

  • FB_IMG_1747384510942.jpg
    68.8 KB · Views: 36
Ni kwa ajili ya nini hizi chanjo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…