Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Yaani naangalia watu wanaodharau USA na EU ni matakore kabisa , Misaada ya chanjo kama vile Ndui, Pepopunda , Kifua kikuu , Kifaduru . Pneumonia zote zinatoka kwao na ni misaada ni bure watoto wetu wanapata chanjo free . Angalia hata kwenye bega lako kama huna alama ambayo umechanjwa ili usife halafu unakuja kumdharau Mmarekani . Mkeo akimpeleka mtoto wako clinic kupata chanjo ni ya Wamarekani ili asife . Usisahau hizi ARV za kutuliza ngoma ni za kwao hatulipa hata cent Moja , Yaani miaka ya nyuma kabla ya hizi dawa za kupooza ngoma ulikuwa ukimwona mgonjwa wa ngoma anavyoteseka kukonda , kuharisha mpaka kufariki , Kweli tuwashukuru raia wa Wamarekani kwa Kodi zao wanazotoa ili tupata chanjo na ARVs. Haki yake mpeni .