Ayatollah Khamanei: Chanjo kutoka Ulaya na USA hatuzitaki

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
2,362
4,851
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamanei amepiga marufuku kuingia kwa chanjo ya korona kutoka ulaya na marekani nchini kwake. Amesisitiza kama kutakua na ulazima basi wataagiza kutoka nchi nyingine.

"Marekani na nchi za Ulaya hasa Uingereza hawaaminiki, wanaweza kuleta chanjo lakini zikawa zinaongeza tatizo. Hata chanjo kutoka Ufaransa hatutaki, miaka ya 1980 walikua na skendo ya kusambaza damu yenye virusi vya ukimwi."

My take, Nchi za Afrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara tumekua ndio wahanga wa magonjwa ya ajabu, viongozi wa nchi hizi wanapaswa kua makini na misaada au manunuzi ya dawa au chanjo kutoka kwa hao watengenezaji. Baada ya biashara ya silaha sasa tunaona biashara ya madawa ya binadamu yakishika kasi.

Ukianza kutumia ARVs utatumia mpaka umauti wako. Nna wasi wasi na hizi chanjo za korona kutumika kwa mda mrefu, huku zikichukua matrilioni ya shilingi katika kuzininua kutoka kwao.

Dunia hii mtu akikupenda jua ana maslahi kwako.

The irreplaceable
 
1610180007205.png
 
“Importing vaccines made in the US or the UK is prohibited. They’re completely untrustworthy. It’s not unlikely they would want to contaminate other nations,”. “Given our experience with France’s HIV-tainted blood supplies, French vaccines aren’t trustworthy either.”
 
Nimesoma alichoandika huyo dada it's completely non sense. Nani hajui kua HIV imeua sana kwetu lakini kwao ni almost hamna!! Na cha kushangaza ukimwi uligundulika Amerca. Nani asiyejua ARV ni biashara inayoingiza pesa ndefu sana kwao, nan asiyejua vita ya wenyewe kwa wenyewe Africa war monger ni USA na wenzie? Ni lini walianza kutupenda? Ushasahau walitufanya watumwa?

Hao viumbe hawajawahi kua na huruma na sisi, hawatuoni kama binadamu...
 
Back
Top Bottom