Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

Katika Uswahili tunapaswa kujivunia tu Lugha, Salamu na Ukarimu [Ule usio wa kinafiki]

Ukiacha hayo Uswahili ni Ujinga ujinga, tabia za hovyo zilizojaa chuki, Uzembe, husuda, Fitina, kutojali Muda, Kutofanya kazi kwa bidii, kutopenda Elimu na Maarifa

Hovyo tu
Hakika, japo kina FaizaFoxy na Mohamed Said wanaweza wakapinga sana hili ila huo ndio ukweli
 
Uswahili uliopo Chanika hauna maana zaidi ya kuproduce generation ya ovyo.

Suluhisho panahitaji wahamiaji wengi kutoka Mikoa ya bara wa overtake wazawa mji ukae kwenye msitari.
Oh sijui wanaokaa Masaki,sijui Mbweni,sijui Mbezi Beach,sijui Mikocheni,sijui Bahari Beach and blah blah eti hawajui maisha,watoto wasio na maisha,wanakuja kufeligi maisha na ujinga mwingine kibao

Kumbe wasichojua ni kwamba:

-Uswahilini mimba za utotoni ni nyingi zaidi
-Matukio ya unyanyasaji kama ubakaji,gender based violence ipo zaidi Uswahilini
-Crime rate ni kubwa zaidi Uswahilini
-Umasikini ni mkubwa zaidi Uswahilini
-Magonjwa ya zinaa ni makubwa zaidi uswahilini
-Ugonjwa wa Ukimwi ni zaidi Uswahilini
-Magonjwa ya kuambukiza ni zaidi Uswahilini
-Maadili mabovu zaidi yapo Uswahilini
-Uwezekano wa mtoto kuacha shule upo zaidi Uswahilini
etc
etc

Nikakae huko?Mna malaria nyie

Nikasomeshe watoto wangu mashule ya serikali huko Uswahilini?
 
Mbona Philip mpango anaishi huko

Ova
Sasa Philip Mpango ana sense of style?

Philip Mpango anajua nini katika zoning?

Huyu ndio utegemee afanye kazi yake ya kupanga miji na matumizi bora ya ardhi na zoning?

Mtu anaabudu squater,anakaa kwenye squater,unategemea mipango miji kutoka kwenye ubongo wa namna hii?

Tumepata loss hapa
 
Nimeishi dar miaka mingi sikuwahi kufika chanika.... Juzi kati hapo mtu akaniambia ebu njoo maeneo flani chanika chap Kuna nshu, alooo nikajua ni hapo tu daaah ni mbali kinoma kama unaenda chalinze.. Dar kubwa aisee ila sitamani kufika tena huko
Dar sio kubwa sema imejengeka
 
Wagemi nao wakikaa kwa muda "WANAKOPI NA KUPESTI" huo uswahili ili kuendana na MAZINGIRA..

Hiyo sio dawa kuondoa/kumaliza uswahili.
Omba wapemba waje waanze kuwanunua (kununua nyumba zao) ili wawakimbize..
Kweli kabisa wapemba wakiingia mahali uswahili unapungua sana Nimeshuhudia hili kiwalani baada ya wapemba kuanza kuwanunua.
 
Bora kuishi chanika kwenye nyumba yako kuliko kupanga masaki....kwenye nyumba za wanaume wenzako na kukatamba kwamba pazuri
 
Chanika sio sehemu ya kukaa ni vile tu mjini kumejaa na huko ni rahisi kupata kiwanja tena kwa gharama nafuu..


Chanika kupo mbali sana na mji, mfano kutoka tu chanika kwenda K/Koo ni mtiti, Chanika kwenda Mawasiliano pia ni hivyo hivyo.

Usafiri nyakati za jioni ni shida labda uwe na Private car lakini kwa public transport utaenyeka na kufika nyumbani majogoo.

Barabara za BRT phase 3 zinatengenezwa kufika huku Gongo la mboto lakini itasolve sehemu ndogo sana ya shida ya usafiri kwa maana Hiki kipande cha kutoka JINA, Mombasa, G/mboto, kuelekea mpaka Chanika kuna watu wengi mno na wengine ndo wanazidi kuongezeka.
Niambie wewe unaishi wapi penye unafuu wa usafiri
 
Niambie wewe unaishi wapi penye unafuu wa usafiri

Taarifa zangu binafsi wewe za kazi gani?

Nikishasema ninapoishi hata kama hakuna unafuu wa usafiri wewe utafaidika nini?

Ukweli ni kwamba Chanika ni mbali mno unafuu wake utakuja tu endapo una Private car au kama eneo la kazi au biashara lipo maeneo ya karibu.

Tofauti na hapo gharama na changamoto ya usafiri ni jambo lisilofichika.

Sasa kama nauli mpaka mjini ni 1k na sehemu huo umbali wake uko vipi? Chanika kupo mbali na mji ndugu.
 
Bora kuishi chanika kwenye nyumba yako kuliko kupanga masaki....kwenye nyumba za wanaume wenzako na kukatamba kwamba pazuri

Kupanga Masaki means una mudu pia kila mtu ana mipango na Metrics zake katika maisha lakini kinachosema kuhusu Chanika ni uhalisia haijalishi umepanga au una nyumba yako huko Chanika.
 
Back
Top Bottom