Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

Katika Uswahili tunapaswa kujivunia tu Lugha, Salamu na Ukarimu [Ule usio wa kinafiki]

Ukiacha hayo Uswahili ni Ujinga ujinga, tabia za hovyo zilizojaa chuki, Uzembe, husuda, Fitina, kutojali Muda, Kutofanya kazi kwa bidii, kutopenda Elimu na Maarifa, Kuendekeza ngono n.k

Hovyo tu
 
Uswahili uliopo Chanika hauna maana zaidi ya kuproduce generation ya ovyo.

Suluhisho panahitaji wahamiaji wengi kutoka Mikoa ya bara wa overtake wazawa mji ukae kwenye msitari.

Chanika sio sehemu ya kukaa ni vile tu mjini kumejaa na huko ni rahisi kupata kiwanja tena kwa gharama nafuu..

Chanika kupo mbali sana na mji, mfano kutoka tu chanika kwenda K/Koo ni mtiti, Chanika kwenda Mawasiliano pia ni hivyo hivyo.

Usafiri nyakati za jioni ni shida labda uwe na Private car lakini kwa public transport utaenyeka na kufika nyumbani majogoo.

Barabara za BRT phase 3 zinatengenezwa kufika huku Gongo la mboto lakini itasolve sehemu ndogo sana ya shida ya usafiri kwa maana Hiki kipande cha kutoka JINA, Mombasa, G/mboto, kuelekea mpaka Chanika kuna watu wengi mno na wengine ndo wanazidi kuongezeka.
 
Nimeishi dar miaka mingi sikuwahi kufika chanika.... Juzi kati hapo mtu akaniambia ebu njoo maeneo flani chanika chap Kuna nshu, alooo nikajua ni hapo tu daaah ni mbali kinoma kama unaenda chalinze.. Dar kubwa aisee ila sitamani kufika tena huko
 
Chanika sio sehemu ya kukaa ni vile tu mjini kumejaa na huko ni rahisi kupata kiwanja tena kwa gharama nafuu..

Chanika kupo mbali sana na mji, mfano kutoka tu chanika kwenda K/Koo ni mtiti, Chanika kwenda Mawasiliano pia ni hivyo hivyo.

Usafiri nyakati za jioni ni shida labda uwe na Private car lakini kwa public transport utaenyeka na kufika nyumbani majogoo.

Barabara za BRT phase 3 zinatengenezwa kufika huku Gongo la mboto lakini itasolve sehemu ndogo sana ya shida ya usafiri kwa maana Hiki kipande cha kutoka JINA, Mombasa, G/mboto, kuelekea mpaka Chanika kuna watu wengi mno na wengine ndo wanazidi kuongezeka.
Af unakuta watu wanapiga mishe kkoo wanakaa chanika... Mi safari ya siku moja tu town to chanika nilikata tamaa ya kurudi tena huko
 
Simon,

Chanika kupo mbali sana na mji, yaani safari ya kutoka chanika kuelekea maeneo kama Mwenge au Masaki ni mtihani mzito huwa najiuliza watu wa huko wana mudu vipi ukizingatia pia nauli sasa zipo juu.

Chanika labda uishi ukiwa umestaafu unakaa na mke wako na wajukuu.
 
Yaah au uwe unapiga mishe za huko huko tu sio town kila mara.. yani mwezi labda town mara moja
 
By interpretion and definition, mada hii ndio yenye "Uswahili"

Mada hii, imeletwa na mtu/watu

Bibi yetu mkongwe huwa anauliza...

"Hivi shuleni mlienda kusoma nini?"

Pyschologist nao wana tutahadharisha kuhusu aina ya mtu/ watu wa aina hii kwamba wako na "Fixed mindset"

Nevertheless, Watu wa Chanika wana akili Kuliko.🤯

🤬
 
Naishi chanika mzee ni uozo mtupu
 
Back
Top Bottom