Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,450
- 6,496
Sasa kuna mtu anakaa homboza au mvutiAf unakuta watu wanapiga mishe kkoo wanakaa chanika... Mi safari ya siku moja tu town to chanika nilikata tamaa ya kurudi tena huko
Sasa kuna mtu anakaa homboza au mvutiAf unakuta watu wanapiga mishe kkoo wanakaa chanika... Mi safari ya siku moja tu town to chanika nilikata tamaa ya kurudi tena huko
Chanika, mvuti, na homboza kote huko viwanja ni bei rahisi ndo maana kuna urahisiHapo umesema kweli,ikiwa watapatikana wapemba au wachaga,patabadilika,pungezeni bei ya viwanja.
Bagamoyo, Bunju, mbweni, Kibaha, Mlandizi hazina tofauti na Chanika kama ishu ni umbaliTaarifa zangu binafsi wewe za kazi gani?
Nikishasema ninapoishi hata kama hakuna unafuu wa usafiri wewe utafaidika nini...
Bunju sio mbali kama chanikaMnaosema Chanika ni mbali mnalinganisha na wapi?
Yaani hata mtu anaekaa Bunju anasema eti Chanika mbali [emoji849]
Kama kibaha ni chap sababu ile barabara ni pana huwezi fananisha na chanika,Bagamoyo, Bunju, mbweni, Kibaha, Mlandizi hazina tofauti na Chanika kama ishu ni umbali
Ukweli kwa umbali hazina tofauti, utofauti upo katika mpangilio wa mitaa, madhari na majengo. Pale mbuyuni upande wa kushoto kama unatokea pugu pako vizuri ni viwanja vilivyopimwa na mradi wa wizara, tatizo ni sehemu ndogo inayomezwa na sehemu kubwa isiyokuwa na mpangilioBagamoyo, Bunju, mbweni, Kibaha, Mlandizi hazina tofauti na Chanika kama ishu ni umbali
Rudi huko mkoani kijijini kwenu....Uswahili uliopo Chanika hauna maana zaidi ya kuproduce generation ya ovyo.
Suluhisho panahitaji wahamiaji wengi kutoka Mikoa ya bara wa overtake wazawa mji ukae kwenye msitari.
Kijana wa dar kasema 😅😅😅Bara ipi mkuu? Si bora uishi Chanika kuliko kuishi mikoani huko bara kila siku kuwindana na uchawi mpaka wengine mnaogopa kurudi aui kujenga mikoani kwa kuogopa kufa kwa kurogwa. Pesa hamna inapatika kwa msimu wa mavuno,maji shida,chakula shida.....barabara za hovyo,huduma za kijamii ndio kwanza zinafika.
Anayeishi Chanika ana heshima kubwa kuliko anayeishi huko vijijini kwenu.
Seen.Uswahili uliopo Chanika hauna maana zaidi ya kuproduce generation ya ovyo.
Suluhisho panahitaji wahamiaji wengi kutoka Mikoa ya bara wa overtake wazawa mji ukae kwenye msitari.
[emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka sana hiyo komentiKweli akutukanaye hakuchagulii tusi la [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio hapo..ikishafika jioni /asubuhi Dar yote usafiri ni vurugu tuNiambie wewe unaishi wapi penye unafuu wa usafiri
Dah huko hata sijawahi kusikia labda hiyo mvuti ila sijui ni upande gani darSasa kuna mtu anakaa homboza au mvuti
Noma sana mjini kuja kwa machaleKutoka Bunju stand to city center ni 41km na pia kutoka Chanika stand to city center ni 34.1 km kwaiyo angalia mwenyewe wapi mbali.