Mchungaji,
Bane na Mbongo utazipata kutoka kwangu ila subiri kwanza niziweke kwenye MP3 maana ninazo kwenye CD.
Je unataka ziwe katika quality gani? Yaani kati ya 320 - 128 kbps. Nafikiri unafahamu kuwa good quality inaenda na ukubwa wa file.
Hizo nyingine sikumbuki kama ninazo............ ntaangalia.