Changia Playlist ya Mchungaji...

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Natafuta:

1. Mayaula Mayoni- Mbongo
2. Oliver Ngoma- Bane
3 Victoria Eleyson
4. Tshala Muana- Ntambue
5. Wenge Musica BCBG

Nitaongezea zaidi baadaye...
 
umepotea sana mchungaji...........!
muzee wa ''TUMEUZA UHURU WETU NA MALI ZETU TUMEMZIFUJA....''
muzee wa ''IN LOWASSA I TRUST''
 
Mwanakijiji, Neno linasema ili kuokoa shurti uwe karibu na watu...:becky:
 
Kule Yutubu nimekutana na kina Makwizi za Nasema sina ndugu, King Kiki na nyingine za Msondo, Mlimani na lahaula walakwata zimenikumbusha mbali sana!
 
Mchungaji,

Bane na Mbongo utazipata kutoka kwangu ila subiri kwanza niziweke kwenye MP3 maana ninazo kwenye CD.

Je unataka ziwe katika quality gani? Yaani kati ya 320 - 128 kbps. Nafikiri unafahamu kuwa good quality inaenda na ukubwa wa file.

Hizo nyingine sikumbuki kama ninazo............ ntaangalia.
 
Och Shamashama and Mopero
Pichouna
OkomiKolangwa
Vicky Shamashama
Massassu


Also try K'Naan music it has a revolutionary drift.
 
Back
Top Bottom