Changia Mabadiliko Chalinze

Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?
Tunahitaji mchango wako
 
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?

Mkuu tutashukulu ukichangia ila isiwe na ya pembe za ndovu au za madawa ya kulevya...kuhusu jina usiwe na wasiwasi hii ni chadema mitandaoni...
 
Pamoja sana tupo pamoja... kama uko A TOWN ni PM niwakilishe mchango wangu
 
Mnaomba michango huku mnasindikiza thread na porojo za hapa na pale.

MSALANI , wewe huwa unapost ukiwa bar... Sikuhizi umeacha? Hii thread ni ya wapenda mabadiliko wewe sio miongoni mwao manake tunakujua umeshikiwa akili na wanaume wenzio.... Hapa unafanya nini? Inakuhusu?
 
Last edited by a moderator:

Kweli jimbo hili lina hitaji ukombozi...
 
chalize hawadanganyiki.unajisumbua kawape elimu hiyo cdm wajue umuhimu wa demokrasia ndani ya chama chao
 
Chalinze,GADO FUKAYOSI ni Majanga Tutachangia CDM kuwapa elimu ya uraia wana chalinze!!
 
Huyu Mwenye hii namba iliyosajiliwa kwa jina la AGNES BELA ni nani huko Chadema? Kwanini hii michango isiwasilishwe kwa Katibu mkuu moja kwa moja?

Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako
 
MSALANI , wewe huwa unapost ukiwa bar... Sikuhizi umeacha? Hii thread ni ya wapenda mabadiliko wewe sio miongoni mwao manake tunakujua umeshikiwa akili na wanaume wenzio.... Hapa unafanya nini? Inakuhusu?

Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!
 
Ficha upumbavu wako lakini usifiche hekima yako

Acha uhuni wewe, kama huu ushauri umeuona ni upumbavu si ungenyamaza tu? Mara nyingi watu hawana imani ya kutuma fedha kwa mtu wasiyemfahamu. Kama wewe unamjua huyo AGNES BELA misukule wenzio hawamjui. Bora wamtumie BABU direct!
 
Unajiita mwanamke mtamu halafu kinywa chako kinatema kashfa kama hizi kwa wadau. Nipe namba yako nikuchangie kodi ya nyumba kwanza, Halafu hawa matapeli wenzio nitawachangia baadaye!

Huna sababu kuwa kwenye hii thread
 
Chadema ni kama maji hata kama hupendi utayanywa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…