Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Wapenda mageuzi na mabadiliko ya kweli ningependa kuwashirikisha katika uchaguzi mdogo wa ubunge chalinze utakaofanyika Chalinze tarehe 6th-April 2014. Lengo kubwa ni kufikishia ujumbe wanachalinze kuwa nchi yetu haina mfumo wa kurithishana madaraka (chiefdom).
Iwapo Rais JakayaKikwete licha ya kuwa mbunge na waziri katika kipindi cha miaka 15 na rais miaka 8 sasa-wanachalinze bado wamechoka shida za maji, elimu na ardhi bado wanazo, itakuwa ajabu Ridhiwani kuweza wasaidia. Wale wanaoweza kuja Chalinze karibuni kwenye kampeni ila wale mlio mbali basi manweza kuchangia kusaidia kampeni kwa kupitia nambari hii 0765 076788 Michango yenu itawasilishwa kwa katibu Mkuu wa chama cha demokrasia na - Maendeleo Tarehe 31 March 2014.
Michango hii itasaidia kuwapa elimu ya Uraia wanachalinze. Ukombozi wowote ni gharama ewe mwanamtandao jione sehemu ya mabadiliko..
CC: Mikael P Aweda Mohamedi Mtoi Kiranja Filipo Mgafilika Tuko mwita
Mwita Maranya, TUKUTUKU, Yericko Nyerere, Angel Msoffe, Nicas Mtei, Phillemon
Phillemon Mikael, TUMBIRI, Mungi, only83, Molemo, shardcore, Tumain Makene, MTUMISHI
Mtumishi Wetu, SEBM, Benaire, stoneman, Arushaone, LiverpoolFC, DALLAI LAMA, Ben
Ben Saanane, Froida, ntamaholo, Rasib, Nanyaro Ephata, Imma Saro, @Curriculum Specialist, Exaud Mamuya, maphie, olevaroya, LOMAYANN, MNYISANZU, cacico, DAUDI
Mchambuzi, kapotolo, Mungi, sweetlady, SHARKS,
Ni takuwa na weka update kwa yoyote aliyetoa kama utapenda kuficha jina kwasababu zako..nijulishe...
Michango ya awali
View attachment 147860
UPDATE:
Mungu anazidi kutubariki...
Masanilo - 20,000/= Teamo - 20,000/= muonamambo - 30,000/= mtafutano - 26,000/=
Vipi pesa za wizi wa magari na ujambazi unapokea?hata wewe tunahitaji mchango wako lakini usitupe za madawa ya kulevya na za meno ya tembo..
Vipi pesa za wizi wa magari na ujambazi unapokea?
Hayo maneno mwambie mwenzako mie nimemjibu tu kutokana na post yake kwangu.Hizi siasa za maji taka mtaziacha lini?
Hayo maneno mwambie mwenzako mie nimemjibu tu kutokana na post yake kwangu.
Arushaone, Nanyaro Ephata, Barabara ya Vumbi, Blaki Womani, erick52, Lily Flower, Preta, Smile, babav, Mamzalendo kibol [MENTION=25776]Mtumpole[/MENTION masanilo, Molemo marejesho, sweetlady, LiverpoolFC, Filipo, Martin Jr, Oleveroya lutayega godwinnko eliceco hans79, ukweli mtupu, TUMBIRI, kuku dume, Mungi KALYOVATIPI only83 1800 Havizya Kabembe BONGOLALA STK ONE Atabase Agaya ibange mahoza kajunju Sheshejr, kingungwe Uncle Rukus Sabung'ori Mang'ang'a maoniyangu Aaron, Han'some, Mrdash1, palalisote maoniyangu vaspanya, GITWA kagame, Tangopori mbumbumbu bibliography, Gracious, Libaba nyengo Ishina MAMMAMIA Mwana fandey Saint Ivuga frafajo Mbundenali dosama, william bramwel Ritchie mfereji maringo Welu Eraldius ngoni85 Mponjori Ziroseventytwo OMUSILANGA Mawaiba Nairobifly Rasib ntamaholo, hoyce Comi frema 120, Apolonary shardcore Benaire Dark City mpenda pombe mnyazo mwenyenguvu, CHIETH Mbilimbili Mamndenyi KAMBAJECK Codon peoples power andrewk mareche Swagatwende, Prisoner 46664 Kirode Mpangamji Dingswayo alfred Daud Pigangoma Navy SEAL Gagurito Mkono lubaza Dingswayo, chante Bobuk, @kodem Mamadou Ciril Kimat Ndakilawe, Mercyless pstar01884 jackson kanene Bitende Dingswayo, Josh Michael, Adrian Kim, Mawaiba, Hodarism, sawabho, Mzee Wa Rubisi Gaza and Israel, sir.JAPHET, mwitaz, emmanuel katamba, JahGun, Tetty, tanira1, Manyi, Observer, SANING'O LOSHILU, Mwanamutapa, Petram, Puppy, Masterproud munisijo kanewi, akilipana, Mulungwani, MotoYaMbongo, Lobapula, S2dak_Jr, SUMLEY, Yegoo, KIMAROO, Munambefu, Cheche Mtungi, Mfamaji, Femsor The Activist, Logy, FUSO, George J Minja, makamuz, zumbemkuu, Walas Ba, Mutakyamirwa, RGforever, mmaroroi, Bugota, Makala Jr, Tuko, mohamed mtoi, PISTO LERO, bibi kuku, kumbo, Fidel80, Christian Ibrahim, Ulimbo david2010
Wengi wetu hatuwezi kuchangia kwa vile chama hakina kawaida ya kutoa ripoti ya matumizi