Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

Sasa kama bingwa wa Ban Genta kuna ID yake isiyojurikana humu?

Mwandiko wa mtu unajurikana, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba tuliwabaini kwa miandiko yao na sasa hivi hizo fake ID zao wamezikimbia.
Dr ya kweli haya?
 
naona leo Wazee mmepata sehemu ya kutoa mapovu, kwani hamjui maana ya "where we dare to talk openly"?

huku jukwaani ukiwa serious sana huwezi kuenjoy na % kubwa ya members wanaoongoza kuleta nyuzi za ovyo humu jukwaani ni wazee 😂🚶‍♂️
 
Sasa kama bingwa wa Ban Genta kuna ID yake isiyojurikana humu?

Mwandiko wa mtu unajurikana, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba tuliwabaini kwa miandiko yao na sasa hivi hizo fake ID zao wamezikimbia.
Nnauye na Mwigulu Nchemba tuliwabaini kwa miandiko yao na sasa hivi hizo fake ID zao wamezikimbia.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkipingwa msilete umwinyi kama mnataka kufia mitandaoni
Mkuu sina shida mtu akinitukana maana huwa nawaonea huruma kwa sababu haiwezekani mtu uwe na roho ya uchungu na kuumiza wengine kirahisi pasipo kitu kinachokusumbua kwenye maisha yako. Kiufupi, watu wa hivyo wanahitaji huruma na maombi kuliko kujibishana nao
 
Kiufupi, watu wa hivyo wanahitaji huruma na maombi kuliko kujibishana nao[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshimu sana maandiko ya wengine hasa wale ambao unaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu
Nimekuelewa sana mkuu. Umeongea point sana. Huu Uzi ungekuwa unaibuliwa mara kwa mara hapa ubaoni kukumbusha wajibu wa members.

Umeua mkuu. Leo ndio nimeona kwa ukamilifu hekima zako. Hasa hiyo paragraph ya 3 kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni hiyo imebeba maana nzima. Asante sana. Umetukumbusha wengi. Ubarikiwe
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshimu sana maandiko ya wengine hasa wale ambao unaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu
Japo kuna maeneo umetumia maneno "makali" (kwa mtazamo wangu lakini), ujumbe umefika!

Ni Andiko lenye hekima ya "kiutuzima".

Wa kuelewa watakuelewa, na watakaoamua kutokuelewa wanaweza wakapinga!

Lakini mimi nashukuru🙏
 
Matusi, kejeli na utani ni sehemu ya Jamii forum, sifahamu wengine mmekuja lini humu, lakini hayo yako tangu mwanzo. hakuna zama za matusi, kejeli wala utani, vyote vilikuwepo tangu mwanzo.

Na hakuna staha kukosoana, sema kwamaba watu wanapenda kubembelezwa sana, hilo nalo ni tatizo na inategemea na makuzi ya mtu, mila, na desturi zake.

Ukweli unaambiwa ulivyo, sasa staha ipi mnataka au labda mimi ndio sielewi maanaya staha.
JF ina group zote kila mtu anaweza kufurahi kwenye group analopenda, sema mengine yanahitaji membership nadhani lakini yaliyo mengi hata hodi hupigi.

Hakuna staha ila sema kama hupendi lugha mtu aliyotumia kukufikishia ujumbe mwambie au kaa kimya.

Hili neno staha linatumika sana kwenye siasa za siku hizi, CCM wanapenda wakosolewe kwa STAHA, Wana taka Rais akosolewe kwa STAHA, hata nashindwa kuelewa nini maana ya neno lenyewe.

Anywaya ni maoni yako, nami ni reserve yangu.
Mkuu, kuna ukosoaji wa kistaarabu, lakini kuna mwingine akikukosoa, unaona fika kuwa amelenga kukukasirisha na si vinginevyo.

Ingia Quora utaona wanavyochangia mada zao! Ni wastaarabu sana! Sijui ni kwa sababu wengi wao ni "weupe?"
 
Ingia Quora utaona wanavyochangia mada. Ni wastaarabu sana, sijui ni kwa sababu wengi wao ni "weupe?"[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshimu sana maandiko ya wengine hasa wale ambao unaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu
Vivyo hivyo kuna watu wana nyuzi za kifala sana

Assume mtu anaandika nyuzi kichwa chake kinasema "jinsi ya kufumua malinda bila mafuta"

Mtu kama huyu tumchekee?

Ni matusi tu
 
Usitutishe, yaani ulete mada yako ya kuidhihaki Yanga halafu tukuangalie tu, wewe ni mmoja kati ya members mnaopenda sana sifa mnajifanya mpo karibu na jf hamgusiki, nyie ndio nyie, sasa hakuna na namna lazima tuwaeleze ukweli period.

Unawaasa watu wachangie kwa hekima wakati wewe mwenyewe unabwatukaga tu humu. Siku zote nimenotice wewe unaongozwa na chuki katika vitu viwili SERIKALI na YANGA. Yaani hunaga jema kwa serikali kila kinachofanywa na serikali kwako kibaya, kama unabisha lete mada au comment yako yoyote ukiizungumzia vizuri serikali pale walipopatia.

Ukija upande wa Yanga nako hivyo hivyo kazi yako ni kuiponda tu Yanga mara jezi ya Yanga nzito na shutuma kibao. Pamoja na mafanikio mengi ya Yanga misimu kadhaa ila sijawahi kuona ukipongeza hata mara 1.

Mtu kama Gentamycine pamoja na ujuha wake ila kwenye ukweli anasema tofauti na wewe umejaa chuki. Pia jamiiforum tangu imeanzishwa hakuna zama zilitokea eti members wote wakawa cream and clean, kutofautiana kupo na wakati mwingine watu hutokea kutukanana na kugombana tangu jambo forum ilikuwa hivyohivyo na yote ni kwa sababu hatuko sawa humu, ila mara nyingi unakuta kwenye mada hii watu wanacharukiana balaa ila kwenye mada nyingine wanaungana mkono same members na hii ni kwa sababu ya uhuru wa maoni kila mtu anatoa maoni kulingana na mtazamo wake.
Ungehitimisha kwa kumrushia tusi moja hivi heavy ili akili zake zimkae sawa.
 
Back
Top Bottom