Kama matusi ya JF hayakuzuiii kufanya shughuli zako za kila siku katika maisha halisi unahangaika nayo ya nini??Mmh Stroke una hakuna unajua maana halisi ya jazba? Na ni wapi na lini nimesema nitauwa mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
wanadamu ndivyo tulivyo,unakuta kwenye uzi wa azoli gwanda kutekwa mtuhuyu alilaani.ila hapa ashasahau gwanda alitekwa kwasababu gani.
ngozi nyeusi hata ikikosea haitaki kuambiwa ukweli nandiomana nchi zetu bado masikini sana sababu yawatu kama hawa.
imagin huyu mshikaji angekuwa Raisi kwatabia yakehii yaumwinyi angeua watu wengi sanaa.
Kuna mahali nimesema nimetukanwa?Kama matusi ya JF hayakuzuiii kufanya shughuli zako za kila siku katika maisha halisi unahangaika nayo ya nini??
CCM NDIO SISI TUMEJAA HUMU JAMII FORUM NA MAJINA YETU NA PICHA ZETU HALISIA.[emoji3][emoji3][emoji3] asante sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umenikumbusha kipindi Hicho cha itikadi za chama tulikuwa tunaimba
Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiii....!
Siku hizi hizo nyimbo hazipo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu nitakaribia next reincarnation [emoji1545][emoji1545][emoji1545]CCM NDIO SISI TUMEJAA HUMU JAMII FORUM NA MAJINA YETU NA PICHA ZETU HALISIA.
KARIBU MKUU TUJENGE NCHI PAMOJA
ni nyimbo tu haziimbwi,[emoji3][emoji3][emoji3] asante sana[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umenikumbusha kipindi Hicho cha itikadi za chama tulikuwa tunaimba
Chama chetu cha mapinduzi chajenga nchiii....!
Siku hizi hizo nyimbo hazipo tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Humu mna kizazi cha 2000 kinaleta shida sana,shida sana naposema sana namaanisha wanasumbua haielezeki.mf jana jioni kulikuwa na mada ina-trend humu kuna mtu mzima ana miaka mitatu astaafu(means yupo 57 yrs) alikuwa na shida fulani seriously ya kifamilia anatokea mtoto mmoja anamuita ”mzee huna akili wewe ni mpumbavu”,mwengine anamwambia ”huna skills za maisha“ maneno yalikuwa mengi ya kukera.Watu humu wamekulia sehemu tofauti tofauti. JF ni jamii kubwa ambayo ingetumika kistaarabu,wengi wangenufaika. Lakini,ukiangalia mada zinazoandikwa,comments zake,wengi utawajua. Kiutani utani mtu atacomment kuongeza scores,lakini pia mchango wake hupatikana inapobidi. Watu ambao hawajaishi na watu,ndo unakuta wakiguswa tu kiutani, wanakuja juu na milingoti.
Na miaka ya nyuma,majukwaa yote yalikuwa na adabu. Sijui kaingia mdudu gani!
Lakini ukweli bado ni wazi Chama Cha Mapinduzi cha Jenga nchi..[emoji848]ni nyimbo tu haziimbwi,
Lakini ukweli bado ni wazi Chama Cha Mapinduzi cha Jenga nchi..
Brother nakukubali sana na ain't feel shame to adimit it.Asante sana mkuu nitakaribia next reincarnation [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tehe tehe.nitabia zakimaskini hizi nawivu husda na umwinyi
Tuendelee kuelimishana in postive way's[emoji419][emoji375][emoji1545]Brother nakukubali sana na ain't feel shame to adimit it.
Mmoja ya watu mlionifanya niamini JF kuna watu makini kama akina sisi vijana wa CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Tuendelee kuelimishana in postive way's
Daah kweli mkuuHumu mna kizazi cha 2000 kinaleta shida sana,shida sana naposema sana namaanisha wanasumbua haielezeki.mf jana jioni kulikuwa na mada ina-trend humu kuna mtu mzima ana miaka mitatu astaafu(means yupo 57 yrs) alikuwa na shida fulani seriously ya kifamilia anatokea mtoto mmoja anamuita ”mzee huna akili wewe ni mpumbavu”,mwengine anamwambia ”huna skills za maisha“ maneno yalikuwa mengi ya kukera.
Malezi ya single parent na kulelewa na ma-house girl nadhani ndiyo sababu tumekuwa na kizazi kibovu kisichoweza kutofautisha mtu mzima na vijana wenzao,mtu makamu na vijana wao etc.
😜endelea kutafakari na kisha chukua hatua stahikiLakini ukweli bado ni wazi Chama Cha Mapinduzi cha Jenga nchi..[emoji848]View attachment 2821376
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja Kaka....Tuendelee kuelimishana in postive way's[emoji419][emoji375][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] lakini nilifanya hivyo 1984 nilitafakari kwa maskini sana kisha nikachukua hatua stahiki ya kuachana na CCM.. Sijawahi kurudi nyuma na sijawahi kuujutia uamuzi wangu huo[emoji12]endelea kutafakari na kisha chukua hatua stahiki
Thanks nitafanya hivyo na usiponiona tafadhali nialike nizipate kwa wepesi[emoji1545]Pamoja Kaka....
Pitia pitia makala zangu uchukue maarifa pia.