Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

Mkuu mshana jr humu members wote wana ID zaidi ya mbili za matusi na za hekima. Huwezi amini ID yangu moja ya heshima nashushaga nondo madini ushauri na mawahidha ila mngejua ndo maghayo.

Usije shangaa Mohammed Said ndie kidukulilo
Maghayo nadhani sio Wote mimi nikiwa Mojawapo... Hata ujifiche vipi between the lines watu wakikufuatilia utajulikana tu hasa kwenye mode of writing...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshima sana maandiko ya wengine hasa wale ambao inaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna katoto kapo jukwaa la michezo ni hodari wa kutukana watu, Hamadi nimekafuma jukwaa la ajira kanaomba kazi halafu umri kana miaka 26 tu, nimeshangaa sana.

Nawezaje kumsaidia kijana wa hovyo kama huyo?
 
Sasa kama bingwa wa Ban Genta kuna ID yake isiyojurikana humu?

Mwandiko wa mtu unajurikana, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba tuliwabaini kwa miandiko yao na sasa hivi hizo fake ID zao wamezikimbia.
 
Matusi, kejeli na utani ni sehemu ya Jamii forum, sifahamu wengine mmekuja lini humu, lakini hayo yako tangu mwanzo. hakuna zama za matusi, kejeli wala utani, vyote vilikuwepo tangu mwanzo.

Na hakuna staha kukosoana, sema kwamaba watu wanapenda kubembelezwa sana, hilo nalo ni tatizo na inategemea na makuzi ya mtu, mila, na desturi zake.

Ukweli unaambiwa ulivyo, sasa staha ipi mnataka au labda mimi ndio sielewi maanaya staha.
JF ina group zote kila mtu anaweza kufurahi kwenye group analopenda, sema mengine yanahitaji membership nadhani lakini yaliyo mengi hata hodi hupigi.

Hakuna staha ila sema kama hupendi lugha mtu aliyotumia kukufikishia ujumbe mwambie au kaa kimya.

Hili neno staha linatumika sana kwenye siasa za siku hizi, CCM wanapenda wakosolewe kwa STAHA, Wana taka Rais akosolewe kwa STAHA, hata nashindwa kuelewa nini maana ya neno lenyewe.

Anywaya ni maoni yako, nami ni reserve yangu.
 
Asante Mshana, umsema ukweli sana. Tujizuie kutoheshimu maandiko ya wenzetu. Nimesema mara nyingi, ukiona hujapenda andiko la mtu a huwezi kujibu kama mwanadamu , pita, iache kuliko kutoa matusi! tusameheane pale linapotokea ingawa inaumiza sana mtu kukutukana...
 
Kuna katoto kapo jukwaa la michezo ni hodari wa kutukana watu, Hamadi nimekafuma jukwaa la ajira kanaomba kazi halafu umri kana miaka 26 tu, nimeshangaa sana.

Nawezaje kumsaidia kijana wa hovyo kama huyo?
Teach him the hard way ili aelewe maisha yana pande nyingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matusi na kejeli zote ziolozeshwe halafu zipigwe pin ukiandika linajifuta mpaka uandike kitu au neno zuri. Mi siyo mtaalam wa hiyo mambo, ila kuweka sensorship kwenye maneno mabaya inawezekana.
EXACTLY , KAMA KUNA OPTION/PROGRAM KAMA HIYO ITASAIDIA SANA, INGAWA INAWEZA KUWA NGUMU. MFANO UKIPIN MPUMBAVU...UKIANDIKA ARTICL YOYOTE KUHUSU MPUMBAU ITAFUTA NENO HILO NA HUAWEZA KUANDKA MADA KUHUSU UPUMBAVU
 
Matusi, kejeli na utani ni sehemu ya Jamii forum, sifahamu wengine mmekuja lini humu, lakini hayo yako tangu mwanzo. hakuna zama za matusi, kejeli wala utani, vyote vilikuwepo tangu mwanzo.

Na hakuna staha kukosoana, sema kwamaba watu wanapenda kubembelezwa sana, hilo nalo ni tatizo na inategemea na makuzi ya mtu, mila, na desturi zake.

Ukweli unaambiwa ulivyo, sasa staha ipi mnataka au labda mimi ndio sielewi maanaya staha.
JF ina group zote kila mtu anaweza kufurahi kwenye group analopenda, sema mengine yanahitaji membership nadhani lakini yaliyo mengi hata hodi hupigi.

Hakuna staha ila sema kama hupendi lugha mtu aliyotumia kukufikishia ujumbe mwambie au kaa kimya.

Hili neno staha linatumika sana kwenye siasa za siku hizi, CCM wanapenda wakosolewe kwa STAHA, Wana taka Rais akosolewe kwa STAHA, hata nashindwa kuelewa nini maana ya neno lenyewe.

Anywaya ni maoni yako, nami ni reserve yangu.
Mmh yangekuwa ni kitu cha kawaida imgekuwa hakuna
Kanuni na miongozo
Sheria na taratibu
Report burton
Imgekuwa pia hakuna moderation

Kuna baadhi ya member kupitia JF wamefahamiana japo sio ana kwa ana na kujenga urafiki wenye kutaniana kwa mipaka hasa kwenye
Utani wa michezo
Utani wa makabila
Utani wa misambwanda na visingeli
Utani kwenye ushirikina nknk

Hao wanataniana kwakuwa wameshajenga bond ya namna hiyo lakini kamwe hutakuta utani wao unavuka mipaka ya heshima na hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshima sana maandiko ya wengine hasa wale ambao inaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja 👍👏👏
 
Ni kweli mkuu ila kwa chawa waliopo humu sitaacha kuwatia spana. Hilo tuvumiliane tu maana kustahimili upuuzi wanaofanya mbele ya watu timamu kiakili siwezi.
 
Usitupigie kelele
 
Back
Top Bottom