Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

Changia kwa hekima, kosoa kwa heshima

[emoji1545][emoji1545][emoji1545] lakini nilifanya hivyo 1984 nilitafakari kwa maskini sana kisha nikachukua hatua stahiki ya kuachana na CCM.. Sijawahi kurudi nyuma na sijawahi kuujutia uamuzi wangu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa na msimamo madhubuti usio yumba, wala kutetereka ni jambo muhimu na la maana sana.
Sio tu katika siasa bali pia kiimani, kibiashara, kiroho na kimwili n.k

Big up sana, for sure huwezi juta
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshimu sana maandiko ya wengine hasa wale ambao unaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hutukanagi humu?

Ni hilo tu 😀
 
kuwa na msimamo madhubuti usio yumba, wala kutetereka ni jambo muhimu na la maana sana.
Sio tu katika siasa bali pia kiimani, kibiashara, kiroho na kimwili n.k

Big up sana, for sure huwezi juta
Huwa nachelewa sana kuchukua maamuzi lakini nikishaamua hata shetani huwezi kunibadili misimamo yangu kwa yale niliyokuwa nimeshayatolea maamuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii forums imetoa uhuru wa kutumia utambulisho bandia kwa akili ya kulinda maslahi binafsi ya mwanachama.. Lakini kupewa huo uhuru haina maana uwatweze wengine kwa vile tu hujulikani utambulisho wako halisi

Ndani ya huu mtandao kuna mwanachama wa aina mbili au tatu
1. Wanaotumia utambulisho halisi
2. Wanaotumia utambulisho bandia
3. Wanaotumia utambulisho halisi na bandia
Watu wanakutana hapa hawafahamiani lakini kutokana na mahitaji ya kimaisha na maslahi ya kila mmoja ama ya upande mmoja watu hufikia hatua ya kufahamiana zaidi nje ya huu mtandao

Kuna wajinga wachache wenye uono kimo cha mbilikimo wanaodhani kwa kutumia utambulisho bandia basi wanaweza kufanya lolote na wasijulikane popote bila kujua ya kwamba maandishi hayafitiki.. Ni kupitia maandishi yako ya jana ama hitaji lako la mbeleni unaweza kujifunua na kubaki uchi kabisa

Heshimu sana maandiko ya wengine hasa wale ambao unaishia kuwaona jukwaani lakini hamjawahi hata kuonana.. Hata kama maandiko yake hukubaliani nayo kosoa kwa adabu kosoa kwa heshima..Kosoa kwa hoja jadilifu na si vioja, kashfa, dharau au kejeli!

Heshima muda wake aliotumia kuandika hiyo mada, kifurushi chake, ujumbe na maudhui yake..! Si lazima ukubaliane naye.. Hivyo mpinge kwa hoja zenye mantiki ama mpotezee.. Sometimes kuna kipengele cha kukubaliana kutokubaliana na kinyume chake!

Ukiona mada imeruhusiwa kuwa hewani na kupata wachangiaji... Iheshimu sana kwa maana ina kibali cha kanuni na sheria za jukwaa! Kwa maana ya kwamba imekidhi vigezo vyote vya kuruhusiwa kuwepo hai.. Watu wanaweka mada na hazichukui round zinaliwa kichwa na kutupwa jalalani..

Mada inayoachwa hewani iheshimu sana kulingana na jukwaa lake husika..kitendo cha kuiita ya kipuuzi ama ya kipumbavu si kwamba umemtusi na kumkejeli mtoa mada tu, bali hata wachangiaji wengine na hata walioiruhusu iwepo hewani

Unapokuwa mwanachama mgeni (sio multiple ID) Unakuwa mkweli sana.. Unaongea maisha yako unajitambulisha uhalisia wako na kuomba ushauri hapa na pale. Unapokuwa mzoefu unaanza kuvimba kichwa na kujisahau wewe ni nani uko wapi na unafanya nini.. Unasahau hata background yako na kudhani hujulikani..

Usiwe ndezi kiasi Hicho una background that can be traced to the maximum... Maandishi yako mwenyewe ya awali yanaweza kuwaongoza watu mpaka ulipo na wakakufikia bila shida na wakakufanya chochote watakacho hasa kama hawana hofu na Mungu aliye hai

Kikubwa unapotumia utambulisho bandia usidhani ndio umeyawezea maisha.. Kumbuka bado unaishi na shida hazikomi.. Lakini pia kumbuka una background ambayo kwa namna iwayo yote huwezi kuifuta na watu wanayo mkononi..

Ni hayo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo inabidi wazungumze wenye JF yao au moderators , sidhani kama ni sahihi wewe kuzungumza kana kwamba una share humu JF.
 
nazani unashindwa kutofautisha katiyenu nahao vijana wa 2000

nyie wazee mitandao imewakuta ukubwani mna miaka 30+tena mlikuwa wengiwenu washamba hatakujiunga kwenye hio mitandao mlikuwa hamjuii mnaomba msaada kwavijana wawaunge mlikuwa naushamba mwingi nakujiona mmerudi ujanani

lakini vijana mnaowaona wajinga wamezaliwa wakakuta kilakitu sasa hivi nimuda wao wapisheni nyinyi mnatakiwa muangalie tbc taifa na kusikiliza tbc taifa.

chakushangaza mnashindana nawatotowenu mtandaoni lazima wawatoe nishai tuu.

binafsi nikifikisha miaka 45 naachana namitandao yakijamii

Kwa hiyo unaona binadamu kuishi bila mipaka kama hayawani ndio usasa au ?

Kwanza hao wengi wanaoropoka humu ni aidha wana mental issues au ni keyboard warriors maana hawana guts za kumtukana mtu kwenye hadhira.

By the way, Mimi hata nikifika miaka 60 mtandaoni sitoki Ila nitaendelea kuitumia ile ninayoitumia zaidi na kama jf ndio constant, labda watu wanaoleta thread na comments za maana waishe.

Siwezi ruhusu watu wasiojielewa waathiri maamuzi yangu unless hujui mtandao una faida gani nje ya replies, likes and shares
 
Umenena points sana Mshana Jr Kuna siku nilianzisha Uzi Fulani ukawa hewani Kuna mtu alicomment, comments zaidi ya nne halafu zote zinaujumbe mmoja yaani Uzi wangu ni mavi ni upumbavu n.k

lakini nilichogundua Kwa haraka haraka watu wengi sana walio na ufinyu wa kufikir wanafikr hili jukwaa ni la maonyesho.
Hali yakuwa Kuna watu wengi sana wamenufaika na mambo ambayo Huwa yanatupwa humu.

Kuna watu walikuwa hawajui mambo kadhaa kupitia JF wanapata maarifa mapya n.k

Niishie kusema am here to stay.
 
Hali yakuwa Kuna watu wengi sana wamenufaika na mambo ambayo Huwa yanatupwa humu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom