Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,360
Kuna tofauti kubwa saba ya maisha ya kijana anaejitegemea na yule anayejitegemea na kujitegemea kwa wakti moja, hapo hapo, Haya maisha ya kujitegemea na kutegemewa hapohapo muyasikiage tu maana ni shida tupu.
Kwa kijana anaejitegemea na wale wanaotegemea wengi wao wana matumizi kama bando la whatsapp na instagram, Msosi wa maana, Kuhinga mabinti(ambao hawajaoa), usafiri na matumizi mengine madogo madogo,
Mziki upo kwa kijana anaejitegemea na kutegemewa hapo hapo, Ewe kijana mwenzangu hii stage isikiage tu, Hapa wamo vijana wanaotegemewa na ndugu, wazazi wao, wapenzi wake zao, wadogo zao,etc, Hili kundi matumizi kama ya bando la internet na bajeti ya chipsi na mishkaki huwa yanapungua na wengine huanza kunywa pombe kwa kujaribu kupunguza msongo wa mawazo yasiyoisha chungu nzima juu ya kutatua matatizo ya wanaowategemea, Unaamka asubuhi unawasha simu yako meseji kama nne hivi kutoka shule unayosomesha watoto wa ndugu yako kwamba wanadaiwa ada, Unataka uwashe umeme unagundua luku imekwisha, Yani acheni tu, lakini pia kuna gharama zinapungua mfano huna haja ya kutoa toa hovyo hela za kuhonga na saluni mana una mke ama mpenzi wako wa kutegemea kudumu naye katika raha na karaha tofauti na wale mabinti uliozoea kuwahonga hela nyingi