Changamoto zaongezeka Chadema

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
6,313
Points
2,000

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
6,313 2,000
Malalamiko kuwa chama hiki Wabunge wake wananunuliwa nadhani sasa hiyo hoja imekufa kibudu baada ya kupatikana ukweli kuwa hata akina Mgwira,Mtatiro n.k. nao mbio kuelekea CCM.
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto
Hahahaaaa duuh, mkuu hata kama ni njaa yako imezidi.
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
2,300
Points
2,000

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
2,300 2,000
Malalamiko kuwa chama hiki Wabunge wake wananunuliwa nadhani sasa hiyo hoja imekufa kibudu baada ya kupatikana ukweli kuwa hata akina Mgwira,Mtatiro n.k. nao mbio kuelekea CCM.
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto
Inaonekana hujielewi basa wewe, na watu wakiendelea kujadiliana na wewe watakupandisha daraja ambalo hukustahili.

KAJIFUNZE KUANDIKA
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
42,901
Points
2,000

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
42,901 2,000
Malalamiko kuwa chama hiki Wabunge wake wananunuliwa nadhani sasa hiyo hoja imekufa kibudu baada ya kupatikana ukweli kuwa hata akina Mgwira,Mtatiro n.k. nao mbio kuelekea CCM.
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto
Kwenye heading ungeweka namba yako ya simu upigiwe kwa ajili ya uteuzi.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
23,280
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
23,280 2,000
Malalamiko kuwa chama hiki Wabunge wake wananunuliwa nadhani sasa hiyo hoja imekufa kibudu baada ya kupatikana ukweli kuwa hata akina Mgwira,Mtatiro n.k. nao mbio kuelekea CCM.
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto
Hapo Udsm wanafunzi na maprofesa wenu akili zenu zinafanana!
 
Forum statistics

Threads 1,356,244
Members 518,868
Posts 33,128,410
Top