Mzee Nondo
Senior Member
- Feb 26, 2014
- 125
- 83
Malalamiko kuwa chama hiki Wabunge wake wananunuliwa nadhani sasa hiyo hoja imekufa kibudu baada ya kupatikana ukweli kuwa hata akina Mgwira,Mtatiro n.k. nao mbio kuelekea CCM.
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto
Kumbe ukweli umebaki kuwa Chadema kimekosa mvuto