Mzee wa bwaxNimepita kwenye hizo changamoto, kama mtoto wa nje ya ndoa kiukweli nimejifunza mengi i dont wish watoto wangu mmoja wapo apite huko. [emoji119][emoji119].
Mkuu hao wasitie miguu kwenye huu uziWatoto wa nje tu....kuna hawa wenye watoto wa ujanani watatu kila mmoja na mama yake na hao wamama huwezi kuwaoa afu ndo unatafuta mke[emoji41]
Watoto wa nje ya ndoa ni ishara ya wazi kuwa mkeo asikuamini tena. Hili huifunua zaidi Tania ya mwanamume na hivyo ndivyo ilivyoWanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu
Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya baraka au heri katika ndoa? Je, wanatambulishwa ndani ya ndoa?
Uzi udumu muda mrefu, na wakati mwingine ni suluhu kwa matatizo yanayojiri, hivyo tuujadiliane kwa unyenyekevu.
Kulea mtoto wa kambo ni kipaji na karama ambayo wanawake wengi hawanaWanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu
Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya baraka au heri katika ndoa? Je, wanatambulishwa ndani ya ndoa?
Uzi udumu muda mrefu, na wakati mwingine ni suluhu kwa matatizo yanayojiri, hivyo tuujadiliane kwa unyenyekevu.
Pole sanaNimepita kwenye hizo changamoto, kama mtoto wa nje ya ndoa kiukweli nimejifunza mengi i dont wish watoto wangu mmoja wapo apite huko. [emoji119][emoji119].
Watoto wa nje tu....kuna hawa wenye watoto wa ujanani watatu kila mmoja na mama yake na hao wamama huwezi kuwaoa afu ndo unatafuta mke😎
Hiyo rahisi ukimleta mtoto wa nje hakikisha na yeye ana mimba au kashakuzalia katotoKulea mtoto wa kambo ni kipaji na karama ambayo wanawake wengi hawana
Mwanamke atampenda sana mwanao mkiwa mko kwenye mahusiano ya awali kabla ya ndoa... Lakini anapoingia ndani utaanza kuona tofauti.. Sauti atakayoitumia kwa mtoto ni tofauti kabisa na sauti atakayoitumia kwako
Kuna wakati utatokea mgogoro wa kugombea nafasi ya upendo na kujaliwa kwenye moyo wako hasa kama mwanao alishazoea kuwa nawe beneti.. Hapa ni pagumu sana kwakuwa sasa asali wako wa moyo naye ataihitaji hiyo nafasi... Unatakiwa kubalance sana hapa....
Jr[emoji769]
Unaweza ukawa na upendo sana na wanao, lakini kumbuka muda mwingi anayeshinda na watoto ni mwanamke, hutajua kirahisi manyanyaso wanayopata wanao lkn athari bado watakuwa wanazipata!!Kama ninao watoto wa nje ya ndoa kamwe na katu sintoweza kuwatenga wanangu mke akiwakataa Bora aondoke yye aniache na damu yangu