Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu

Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya baraka au heri katika ndoa? Je, wanatambulishwa ndani ya ndoa?

Uzi udumu muda mrefu, na wakati mwingine ni suluhu kwa matatizo yanayojiri, hivyo tuujadiliane kwa unyenyekevu.
...we mbona husemi ya kwako?ungeanza wewe ndio tufunguke....ila kuna sehemu nilikia kuwa,watoto wa nje huwa hawafi,hii ni kweli wakuu? 🙇‍♂️
 
Nimepita kwenye hizo changamoto, kama mtoto wa nje ya ndoa kiukweli nimejifunza mengi i dont wish watoto wangu mmoja wapo apite huko. [emoji119][emoji119].
Pole sana
 
Kulea mtoto wa kambo ni kipaji na karama ambayo wanawake wengi hawana
Mwanamke atampenda sana mwanao mkiwa mko kwenye mahusiano ya awali kabla ya ndoa... Lakini anapoingia ndani utaanza kuona tofauti.. Sauti atakayoitumia kwa mtoto ni tofauti kabisa na sauti atakayoitumia kwako

Kuna wakati utatokea mgogoro wa kugombea nafasi ya upendo na kujaliwa kwenye moyo wako hasa kama mwanao alishazoea kuwa nawe beneti.. Hapa ni pagumu sana kwakuwa sasa asali wako wa moyo naye ataihitaji hiyo nafasi... Unatakiwa kubalance sana hapa....

Jr[emoji769]
Asante mzee mshana jr
 
Kumtambulisha na kuishi nae mtoto wako wa nje ndani ya ndoa uliyo nayo ni njia ya kupunguza changamoto,mshawishi mwanamke amkubali mtoto wako na muongoze mtoto wako awe mfano wa kuigwa.
Asante
 
Tuna complicate maisha tuu. Hakuna cha mtoto wa nje wala wa ndani wote ni watoto na wanastahili upendo wa baba na mama na jamii kwa ujumla.

Stupid westerners ndio wametuletea haya ma stupid ideologies ya mwanaume kuishi na mke mmoja for the rest of your life na kwamba watoto utakaozaa nae tu ndio watakua halali eti wengine ni haramu!

Matokeo yake kuna watoto wanaishi maisha magumu ajabu wakati baba zao wana uwezo mwisho wanaishia ujambazi, umalaya na madawa simply because society inawaona "haramu".

Nonsense!
 
Mkuu mwaka wa saba huu nimeoa
Sasa nyege zangu kwa nni zisababishe viumbe wasio na hatia wateseke
Mkuu huu ndio ujinga wa jamii tuliyo nayo sasa. Eti mtoto anaitwa "haramu", huyo mtoto yeye ana kosa gani? Mtoto anaitwa haramu, ananyanyasika, anatengwa, anakosa huduma muhimu za kimaisha nk eti kisa tu alizaliwa nje ya this stupid artificial arrangement called marriage!

Na hii yote imeletwa na selfishness ya kiumbe anaeitwa MWANAMKE! Mwanamke anachowaza yeye ni priviledges tu na mali. Kwamba ukiwa na mtoto wa nje atashea mali na wanae!

Nonsense!
 
Back
Top Bottom